Leo, nimethibitisha kwamba Zanzibar ni nchi inayojitegemea

Hizo ni sababu za kitoto tumia kuwadanganya wenzako

Hayo majitu ya visiwani ni mabaguzi hayana tofauti na shwetan

Mbona wao wakiwa wanakuja tanganyika hawapewi usumbufu km watanganyika wakiwa wanaenda uko kwenu
Juwa wazi,Tanganyika imepakana na nchi nyingi,Uganda,Zambia,Malawi,Rwanda,Burundi,Kongo,huko kote kunakuja wasafiri,kupanda meli,inaptekea ajali,na kuwa na kitambulisho,ni wepesi kuwaafahamisha balozi husika.
 
Kijana acha upotoshaji,mahakama haiwezi kukutambua bila barua ya serikali Yako ya mtaa,unafikiri serikali ya mtaa au Kijiji hazina kazi?utambulisho wowote unaanzia huko,dhamana,mahakamani,nida pamoja na passport
Umeeleza ukweli mtupu,mahakama inakupa barua,bila barua ya mwenyekiti wa mtaa,unapoishi,hiyo haijawahi kutokea,wewe itakuwa tumekutana na wajanja wa mitaani,wakakupiga hela yako,wakakuandikia barua feki.
 
Ni kukosa Uelewa hakuna Mtu yoyote hapa Tanzania unless kama ni ZUZU anaweza akapingana na NIDA kuhusu U-Tanzania Wako..., aliyokuhudumia sio Muelewa na anafanya kazi kwa mazoea....
 
Hizo ni sababu za kitoto tumia kuwadanganya wenzako

Hayo majitu ya visiwani ni mabaguzi hayana tofauti na shwetan

Mbona wao wakiwa wanakuja tanganyika hawapewi usumbufu km watanganyika wakiwa wanaenda uko kwenu
Wewe ndio ni mtoto wa akili.

Mtu mwenye hawezi kutembea bila kitambulisho,ukipata ajali kokote,sio kwenye meli tu,hata kwenye bodaboda,bajaji,daladala,ukafariki,ni wepesi kujulikana jina,unakotoka,mtaa,na picha yako,ni wepesi ndugu na jamaa zako,kuwapunguzia usumbufu wa kukutafuta .
 
Pote pote wanauliza,
Pole Kwa Hilo,maana ulikua unawatisha watu kusafiri Zanzibar wakati Kila siku watu wanaenda Zanzibar Kwa utambulisho wowote hata Cha uanafunzi.

Mtanzania kuingia na kuishi Zanzibar haitaji Chochote zaidi ya utambulisho wake wakati anasafiri.

Ndio maana Zanzibar kuna wauza karanga,wafanyakazi
 
Sasa si umesema wanaitambua NIDA... unacholalamika nini hapo? Tembea na vitambulisho..
Umemwambia kweli.Huyo mleta uzi,ndio wakujilaumu,kosa ni lake,kutotembea na vitambulisho,anataka awabandike wengine hilo kosa.

Mleta uzi ni mzembe wa Hali ya juu,anatembea bila ya Vitambulisho,hata ng 'ombe wanapigwa mihuri,wajulikane ni wa wapi,na mwenyewe ni nani.

Watoto wa shule ,wanatembea kwenye uniform zao,na majina ya shule,anayosoma,na wengine wanavyaa vitambulisho shingoni.

Ili likitokea tatizo ajulikane ni wa shule gani,na shule ikiipata taarifa,iwasiliane na wazazi,walezi,ili wawe na taarifa ya mtoto wao.
 
Jiwe alikuwa anajua kuwa-screw ila huyu informer anawabeba lakini baada ya 2025 tutaona kitachoendelea akitoka huyo
 
Mama samia Allah akujaarie afya njema na uishi maisha marefu, znz ilitekelezwa na viongozi wabara, ujio wako katika uongozi kutaifanya zanzibar iendelee na kuheshimika,Wanaoichukia wazanzibar na watu wake kwa ujumla, pole yao!

Tanzania na Zanzibar tutarajie maendeleo makubwa chini ya mama samia.

Mimi ni wabara na co mzanzibari
 
ILI KUEPUKANKADHIA YA KUTEMBEA NA FURUSHI LA VITAMBULISHO SERIKALI IFANYE YAFUATAYO
1. Kwa kuwa wote tumekwisha andikishwa basi badala ya kutembea na kadi ambazo zinapotea au kuchakaa basi tusajili fingerprint zetu ziwe ndio mbadala wa kadi

2. Kila sehemu ziwepo mashine ambazo nikiweka kidole changu basi inasoma na kutoa taarifa zangu zote kwenye screen

3. Dereva hatotembea tena na leseni bali akikamatwa na traffic ili kuthibitisha kuwa ana leseni basi vile vi poss machine vyao vinamtambua kupitia alama.za vidole

4. Ukienda bank badala ya kutumia.Kadi bass atm inakutambua kwa alama.za vidole

5. Na kila sehemu inayohitaji huduma.basi tungefanya hivyo tungeondoa kero kubwa ya usumbufu kama huu, kuibiwa kwa njia ya mtandao nk
Hilo siyo tatizo kwa sasa. Tatizo ni Tanganyika kutawaliwa na Kakisiwa kadogo ka Pemba
 
Inawezekana ikawa kweli wamemfanyia hivyo kwa sababu za msingi, maadui wanaweza kupitia bandarini au wanted pia anaweza pitia bandarini, ID card ina picha, getini upita kwa kuangaliwa picha iliopo kwenye ID card yako na kukuangalia wewe pia.

Na kabla ujafika sehemu ya kupumzika kabla ya kuingia kwenye meli / boti pia wanaitaji ticket yako pamoja na kitambulisho ili kuoanisha majina ya kwenye ticket yako na kitambulisho chako sambamba na picha iliopo kwenye ID card na sura yako halisi.
Ahsante kwa maelezo mazuri!
 
Nilikuwa na trip yangu ya dharula kwenda Unguja, baada ya kufika bandari kivukoni, nikaenda kata ticket nikaulizwa ID kujipiga Sachi nimevisahau.

Nikawaambia nina namba ya NIDA wakasema hawaitambui wanataka ID tu,

Nikasema isiwe case kwa kuwa ni dharula I must go, nikaenda Kisutu nikapewa Barua ya uthibitisho nikapanda boti, nafika zenji bandarini nikaonyesha Barua, wakaivuta wakaitoboa toboa kwamba hawaitambui, nikawaambia Nina NIDA No.

Wakaichukua kuicheki wakanirudishia Barua, wakaniambia pita. Ila wakasema hawaitambui Barua ya mahakama kuu , wanachotambua wao ni NIDA tu.

Nimejiuliza maswali mengi sana, Hilo limenitokea Mimi at least nina ufahamu hao Watanzania mil 20 plus wasio naufahamu Nani anawasema juu ya hili?

Ukaguzi bandarini,jirekebisheni both Tanzania mainland na Tanzania island
Kuna mambo yanatatiza ukitoka upande mmoja wa hii nchi.

Wizara ndogo ya mambo ya nje iliyopo Zanzíbar, muhuri wake hautambuliwi na balozi zilizopo tz, ukitaka kupata muhuri wa balozi ukiwa na hati kutoka visiwani inabidi unaanza na kule, halafu inakuja Dsm ndipo upeleke ubalozini, na wizara ni hiyo hiyo moja ......

Jitaatishe wakati wa kurudi pia utaulizwa kitambulisho.

(Ukienda au kurudi LAZIMA kitambulisho, NIDA au Paspoti kama bado wanazikubali pasi)
 
Nilikuwa na trip yangu ya dharula kwenda Unguja, baada ya kufika bandari kivukoni, nikaenda kata ticket nikaulizwa ID kujipiga Sachi nimevisahau.

Nikawaambia nina namba ya NIDA wakasema hawaitambui wanataka ID tu,

Nikasema isiwe case kwa kuwa ni dharula I must go, nikaenda Kisutu nikapewa Barua ya uthibitisho nikapanda boti, nafika zenji bandarini nikaonyesha Barua, wakaivuta wakaitoboa toboa kwamba hawaitambui, nikawaambia Nina NIDA No.

Wakaichukua kuicheki wakanirudishia Barua, wakaniambia pita. Ila wakasema hawaitambui Barua ya mahakama kuu , wanachotambua wao ni NIDA tu.

Nimejiuliza maswali mengi sana, Hilo limenitokea Mimi at least nina ufahamu hao Watanzania mil 20 plus wasio naufahamu Nani anawasema juu ya hili?

Ukaguzi bandarini,jirekebisheni both Tanzania mainland na Tanzania island
Kwa hiyo mtu akitoka ZNZ pia lazima aje na makaratasi au id Bara .....!!
 
Umeeleza ukweli mtupu,mahakama inakupa barua,bila barua ya mwenyekiti wa mtaa,unapoishi,hiyo haijawahi kutokea,wewe itakuwa tumekutana na wajanja wa mitaani,wakakupiga hela yako,wakakuandikia barua feki.
Kaka,
Nina Barua ya Kisutu yenye muhuri,pia ninajua Mambo mengi sana
 
Sasa si umesema wanaitambua NIDA... unacholalamika nini hapo? Tembea na vitambulisho..
Kaka,

Kuna Id ya NIDA Kama kitambulisho hard copy na Kuna namba za Nida,zote zinasolve matatizo,

Dar walikataa Namba ya NIDA, Ila zanzbar waliikubali, zanzbar walikataa Barua ya Kisutu,bara wakakubali Barua ya kisutu
 
Achana naye huyo. Wewe huoni katika wasafiri wote yeye ndiye ameonekana ana shida na tena ni suala la uelewa tu. Halafu tatizo lenyewe dogo kaja kulianziashia mada!!! Kama kawaida wafuata upepo a.k.a wazee wa kudemka nao wanaicheza ngoma!!!
Labda,

Nikuambie kwamba mahakama sio TU inuwezo wa kukutambua na kukutambulisha popote, pia inawezo wa kukua, Ila kwa mwenyekiti wako uwezo huo hana

Ila nimeshtuka wengi wenu zanzbar hamjafika,kwa hyo mnabisha kwa mazoea ya kutoka tegeta kwenda interchange ya kijazi
 
Back
Top Bottom