Daudi Mchambuzi
JF-Expert Member
- Nov 25, 2010
- 62,204
- 128,020
Manina walahiZanzibar ni nchi kamili.
-Ina rais wake.
-Ina wimbo wake wa taifa.
-Ina bendera yake
Machogo endeleeni kuzubaa tu, wajinga ndiyo waliwao.
Nchi inazidiwa population na wilaya ya Temeke lakini imetoa rais anayetawala Tanganyika, ina mawaziri kibao na wabunge kwenye bunge lenu, ina members wa baraza la wawakilishi huko kwao, ina mawaziri kwenye baraza lao.
Yaani kwa kifupi(my thoughts) karibu kila kaya ina kiongozi wa kitaifa, pesa za kumudu gharama/malipo ya hao viongozi ni kodi zenu machogo.
Serikali mbili my foot