Leo nimeota ndoto mpaka nimeshtuka ghafla na kufanya maombi

chizcom

JF-Expert Member
Jul 31, 2016
7,581
15,720
Hizi ndoto kama ni kweli au sikweli sijui zina nini labda wanao fahamu wanaweza kunieleza.

Ndoto ilivyo:

Natembea naona watu kama wamefikia kuwa dunia iliyo apocalypse (kufika mwisho au kishindikana), sasa kila mtu kapoteza muelekeo na hakuna mwenye jibu wala msaada.

Bahati mbaya naenda nyumbani nafika tu naona nyumba zinaanza kupukutika kama vumbi huku watu wakikimbia ambapo upande wa magharibi, jua linapo zama na upande wa mashariki giza linapoingia ni watu wanazidi kupotea !

Basi kuna sehemu nilikimbia nikamkuta baba yangu mzazi kama kashakata tamaa kiufipi.

Niliposimama kumuuliza mbona umesimama, nashangaa ananipa elfu kumi kuwa utanunua vocha? Hiyo vocha utanunua wapi kama ndoto yenyewe inavosema.

Baadae nikaona kama hakuna pa kukimbilia, kila mtu kubaki kusibiri ni nini! Hapo nipo na baba.

Tuliona kama shimo jeusi sasa limekuwa kubwa kwa kitaalamu blackhole upande wa mashariki linazidi kutumeza huku tukigeuka mavumbi.

Baada mambo kuwa magumu ndo nakumbuka kutubu na kuomba nisamehewe!

IMG_0222.jpg
 
Hii wiki kuna chalii hapa jirani katoka bongo karudi home chuga, akawa anawaambia watu kuwa mwisho wa dunia umefika, na Mungu ndo amemwambia awaambie watu watu watubu sana na kuwa huu mwezi wa tisa kuanzia tarehe 9. Ndo itakuwa mwisho wa ulimwengu.
Akawa anasisistiza watu waamini.
 
hizi ndoto kama ni kweli au sikweli sijui zina nini labda wanao fahamu wanaweza kunieleza.

ndoto ilivyo:

natembea naona watu kama wamefikia kuwa dunia iliyo apocalypse(kufika mwisho au kishindikana),sasa kila mtu kapoteza muelekeo na hakuna mwenye jibu wala msaada.

bahati mbaya naenda nyumbani nafika tu naona nyumba zinaanza kupukutika kama vumbi huku watu wakikimbia ambapo upande wa magharibi, jua linapo zama na upande wa mashariki giza linapoingia ni watu wanazidi kupotea !

basi kuna sehemu nilikimbia nikamkuta baba yangu mzazi kama kashakata tamaa kiufipi.

nilipo simama kumuuliza mbona umesimama ,nashangaa ananipa elfu kumi kuwa utanunua vocha ? hiyo vocha utanunua wapi kama ndoto yenyewe inavosema.

baadae nikaona kama hakuna pakukimbilia kila mtu kubaki kusibiri ni nini ! hapo nipo na baba.

tuliona kama shimo jeusi sasa limekuwa kubwa kwa kitaalamu blackhole upande wa mashariki linazidi kutumeza huku tukigeuka mavumbi.
View attachment 1923266

baada mambo kuwa magumu ndo nakumbuka kutubu na kuomba nisamehewe !
Haya ndio madhara ya kulala bila kusali wala kusoma Bible, muda wote uko mitandaoni, Mungu hana sehemu kwako. Badilika
 
I can't imagine jinsi nitakavyofurahi siku nikiota kuhusu mambo ya apocalypse na dunia inavyomezwa na black hole.
haya mambo yapo kwenye movie tu you should consider yourself lucky to experience one.

Hiyo itakuwa grobal warming sababu technically ni impossible kwa dunia kumezwa na blackhole sababu ziko mbali sana na dunia au ni ndoto tu zinazotokana na kuangalia sci fi movies au uoga.
pia wakati mwengine ndoto zinadescribe hali ya mtu kwa wakati aliopo na kwa hiyo ndoto yako basi bila shaka utakuwa umekata tamaa na maisha.

Btw just my opinion.
 
Back
Top Bottom