Leo nimemuota Magufuli Amekufa, usiku wa kuamkia leo, Nikafadhaika sana. Hii maana yake nini?

Namuona rais wa sasa kaiingiza nchi kwenye boti inayoitwa chanjo ya uviko, baadhi ya wananchi wanamsonga kwa kutokubaliana na chanjo hii, Kisha nchi inayumba kwa kupitia kipindi kigumu cha uviko, Inagundulika kuwa tatizo Ni chanjo na serikali inaamua kustopisha chanjo, watu wanafanikiwa kushuka kwenye boti inayoitwa chanjo ya corona na hivo kuepuka madhara yake, lakini wengine hawawezi kuepuka madhara haya sababu tayari walikwisha chanjwa.
Ubaya wa ndoto sivyo inavyokuja ndivyo inavyo tafsir inaweza kua na maana nyingine kabisa
 
Basi ndo amefanikiwa kufa kweli, maana ulimwenguni hapa kuna kunyakuliwa na mwanadamu na kunyakuliwa na Mungu,huenda alikowekwa huko kula pumba nako kakata moto.
Inamana misukule huwa inakufa Mara mbili au
 
Kuna namna hujamtendea haki mwendazake moyoni mwako kwa hiyo dhamira yako inakusuta.

Kama kweli umeota hiyo ndoto.

Ila nadhani hili ni zao jingine la fasihi toka kwako mkuu, Taikon wa Fasihi.
 
Mzee Mngl, hatakufa kwa Jina La Yesu. Huo mfumo unaoua watu wa aina moja, kwa jina la magonjwa ya kupumua, moyo, mapafu ama jina lingine lolote naulaani kwa Jina la Yesu. Na yeyote au muungano wowote aliye kwenye hiyo mfumo, inayoondoa watu wa kundi moja kwa kisingizio

Katika Jina la Yesu mimi na watu wote wenye moyo safi tuseme Amen. Amen. Amen.
Asante kwa sala yenye nguvu. Na ikawe hivyo
 
Mkuu Mimi majuzi niliota ndoto inayoshabihana na yako kidogo !niliota Magufuli yupo sehemu flan ya ovyo Sana amewekwa huku akiwa mgonjwa, akiwa anasikitika Sana, sehemu kwa kweli ilikua nyuma ya mbavu za mbwa kukiwa na sofa moja chakavu na kimeza.
Ikaja gari ya wagonjwa ikimchukua akiwa katika hali dhaifu Sana.
Mbavu za mbwa ni nini?
 
Magufuli alikufa hospitali ya Mzena au ya Jakaya Kikwete?
Naona,for some people,it is very important we should not be sure where he died.
 
Back
Top Bottom