Igombe fisherman
JF-Expert Member
- Apr 28, 2017
- 2,027
- 3,565
Mimi kama kijana siwezi wahi chanjo wakati ziko milioni1 na watanzania tuko. Milion60 huo utakuwa ni ubinafsi. Tuwaachie waliopewa kipaumbele jamani huku tukisubiri zifike hata milion 20 ndo vijana tukagombanie. Mnataka wazee na warumishi wa uma wachanjwe nini kama nyie vijana mnazikimbilia. Hongera sana mtoa mada kwa kuwaachia nafansi makundi hatari