Leo nimekula senene

Joanah

JF-Expert Member
Aug 14, 2016
14,927
2,000
Hujampa ushauri kama inaongeza hamu ya kugegeda au la.
Sijawahi kusikia kuusu kuongeza hamu

Ila nilisikia kuna baadhi zinawavuruga tumbo
Ndio maana nilitamani kufahamu kama alitumia pampas
 

mkorinto

JF-Expert Member
Jun 11, 2014
17,580
2,000
Hiyo ya kuendesha, utaendesha tu kama umeanza kuzisimanga zikiwa tumboni so jiandae.

Kuhusu nguvu za kiume labda kina bishanga wana la kutueleza, ila na mende pia naskia wapo vizuri hasa wa wabichi.
 

Wong Fei

JF-Expert Member
Apr 13, 2016
3,931
2,000
Hawa wadudu watamu sana. Karibu usukumani tunakula kumbikumbi na panzi
 

Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Similar threads

Top Bottom