Kibona yessaya
Member
- Jan 27, 2017
- 21
- 10
ni vema ukawa na hasira ya kutafuta chako yani kama kile au kuzidi kile
Sent from my TECNO P5 using JamiiForums mobile app
Sent from my TECNO P5 using JamiiForums mobile app
umesema kweli kabisa yan binadam sijui kwa nini haturidhiki na tulivyonavyo!!!? Mwisho wa siku kujipa presha za bure tu, na uwezo wa kupata hivyo vitu haupo au muda wake haujafika. Kutamani sio dhambi ila isipite kiasi! Waweza kupotezea tu ila ukapanga mikakati yako ya jinsi ya kupata kwa wakati muafaka.Acha kujipa stress rizika na ulichonacho huyo unayemwona kwenye Hammer nae anatamani awe na private jet ila hawei kuipata na mwenye private jet nae anatamani awe na kisiwa chake cha peke yake ila hawezi.
Utaupenda tu penda usipende!pambana na hali yako MSEMO SIUPENDI HUU