Leo nimejua umuhimu wa kuchaguliwa na umbumbu wa kuteuliwa;hivi viti maalum ni lazima??

Hivi viti maalum mi naona havina faida yoyote kwa taifa. Ebu jiulize" Vicky Kamata anawakilisha mkoa wa Geita KIBUNGE, huku sasa hivi tunaambiwa suala la mikoa mpya hamuna tena. Vicky Kamata wakati anateuliwa ilikuwa aje awakilishe mkoa wa Geita, nasasa hivi hakuna tena mkoa wa Geita sasa je, Vicky Kamata yuko tayari kujiuzuru? Na kama atakataa kujiuzuru je, huko bungeni atakuwa anawakilisha mkoa gani?
mfalme alishamsamehe banaaaa
 
ni viburudisho hao vilaza,hivi huyo alieanzisha viti maalum alikuwa na nia ipi haswaaa?wangeangalia vigezo kama walemav wangepewa nafasi hizo za upendeleo wapate pa kusemea matatizo yao,si hawa wanaovaa vikuku miguuni wasioelewa wanafanyaje mjengoni
 
Gango, unaweza kuiangalia upya avatar yako, au uliichagua ukiwa umefumaniwa
 
Mkuu pdidy,

Na wewe em jifunze kuandika vizuri basiii.... nimepata shida sana kuonganisha sentensi zako kaka, maana hata nukta(.) huweki..! ila nadhani ujumbe umefika, viti maalum viangaliwe upya sasa.

sawa mkuu nimeanza mchakato wa kurekebisha
 
Back
Top Bottom