Leo nimejua umuhimu wa kuchaguliwa na umbumbu wa kuteuliwa;hivi viti maalum ni lazima?? | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Leo nimejua umuhimu wa kuchaguliwa na umbumbu wa kuteuliwa;hivi viti maalum ni lazima??

Discussion in 'Habari na Hoja mchanganyiko' started by Pdidy, Jun 16, 2011.

 1. Pdidy

  Pdidy JF-Expert Member

  #1
  Jun 16, 2011
  Joined: Nov 22, 2007
  Messages: 33,613
  Likes Received: 5,783
  Trophy Points: 280
  Yaani kwa kweli si mchezo
  leo kuna kabinti kamoja kalikuwa pale lumumba mnaokafahamu kakachojolewa sijui na nani
  kako bungen kanaitwa ester .l yaani kale kabinti kamewazalilisha sana viti maalum
  mwanzon nilijua kuna vm wenye akili lakini siku zinavyoenda wengi wanajibu utumbo mtupu
  mnyika alijaribu kuongelea mambo ya muhimu haka kabinti kanaomba kuongea kanaongelea uccm na uchadema
  ooh wao wameiga awakujua ipo kwenye maendeleo..aaahhaaa ndipo kichwa kikasimama na kumtofautisha wa kuteuliwa na kuchaaguliwa pale alipomwambia angalia hiyo nanii yenu imeandikwa june sie ninayo karatasi hapa ipo kwenye ilan ya chadema ya mwaka 2010..sema lingine akaona aibu kana anatetemeka akaanza kurudi kwenye umeme..m nafikiri na nyie wa tv muangalie anaeongea pumba aina aja ya kutuonyesha yaani alivyokuwa like ifi anamuonyesha bwana wake na m ie nilikuwa bungen leo....sijakucheat kwenda sehemu nyingine

  kidumu chama cha chadema
   
 2. Matola

  Matola JF-Expert Member

  #2
  Jun 16, 2011
  Joined: Oct 18, 2010
  Messages: 36,045
  Likes Received: 13,280
  Trophy Points: 280
  Hao waliingia bungeni kwa umahiri wa kutoa tigo, solution ni kufuta viti maalum havina tija kwa Taifa.
   
 3. J

  Jasho la Damu JF-Expert Member

  #3
  Jun 16, 2011
  Joined: Mar 10, 2011
  Messages: 958
  Likes Received: 12
  Trophy Points: 0
  Ikitoka hoja ya posho inakuja viti maalumu. their days are numbered.
   
 4. Pota

  Pota JF-Expert Member

  #4
  Jun 16, 2011
  Joined: Apr 8, 2011
  Messages: 1,813
  Likes Received: 91
  Trophy Points: 145
  nchi ye2 ina ma first ladies
   
 5. samito

  samito JF-Expert Member

  #5
  Jun 16, 2011
  Joined: May 16, 2011
  Messages: 621
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 33
  Mkuu pdidy,

  Na wewe em jifunze kuandika vizuri basiii.... nimepata shida sana kuonganisha sentensi zako kaka, maana hata nukta(.) huweki..! ila nadhani ujumbe umefika, viti maalum viangaliwe upya sasa.
   
 6. M

  Maga JF-Expert Member

  #6
  Jun 16, 2011
  Joined: Nov 11, 2010
  Messages: 325
  Likes Received: 19
  Trophy Points: 35
  Yule binti sikumwelewa anaongea nini maana alikuwa anajikanyaga tu, mara budget nzuri sana mara serikali haipo serious kwenye kipaombele cha umeme maana imeweka hela ndogo sana. Nadhani wabunge wa ccm ifike sehemu waache unafiki wa kisiasa, utakuta mbunge anasimama anasifia oooh budget nzuri sana inakila kitu, baada ya dakika mbili anaanza kuilalamikia.
   
 7. n

  nrango Senior Member

  #7
  Jun 16, 2011
  Joined: Jun 6, 2011
  Messages: 102
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 35
  Viti maalum ni mzigo kwa taifa,hata kama tunataka kuwabeba wanawake sio kihivyo,hivi bungeni wako wangapi?,mi nadhani hilo nalo chadema waliangalie kama vipi waanzishe mchakato kutoa elimu kwa watanzania sababu watu wengi hawafahamu kama viti maalumu ni mzigo kiasi gani,mi sipendi viti maalum,sifahamu umuhimu wake labda nielimishwe kwa hoja nzito sana.
   
 8. U

  Ulimakafu JF-Expert Member

  #8
  Jun 16, 2011
  Joined: Mar 18, 2011
  Messages: 18,036
  Likes Received: 748
  Trophy Points: 280
  Hivi viti maalum vinaongeza ukubwa tu wa bunge,tija hakuna kwa walio wengi walibebwa tu.VIFUTWE.
   
 9. W

  WILSON MWIJAGE JF-Expert Member

  #9
  Jun 16, 2011
  Joined: May 30, 2011
  Messages: 276
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 0
  Kwa sasa wakati tunajenga taifa lililosawa Viti Maalum viendelee na viwepo ila mchakato wa kuwapata uzingatie vigezo maalumu kama walivyotumia CHADEMA na sio kupitiwa pitiwa na kufanywa Tigo rusha.
   
 10. KIBURUDISHO

  KIBURUDISHO JF-Expert Member

  #10
  Jun 16, 2011
  Joined: Mar 28, 2011
  Messages: 955
  Likes Received: 79
  Trophy Points: 45
  Jamani hiyo imenipita sisi huku tuna mgao wa umeme sikuiona
   
 11. t

  tufikiri Senior Member

  #11
  Jun 16, 2011
  Joined: Nov 26, 2010
  Messages: 156
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0

  Teh te teh! na kina Rose Kamil Sukum hivyo hivyo.
   
 12. TIMING

  TIMING JF-Expert Member

  #12
  Jun 16, 2011
  Joined: Apr 12, 2008
  Messages: 21,837
  Likes Received: 125
  Trophy Points: 160
  Pdidy huwa sielewi anaandikaje kwakweli... icant follow, ni kama mtu yuko kwenye zyprexa or something
   
 13. D

  Danniair JF-Expert Member

  #13
  Jun 16, 2011
  Joined: Feb 18, 2011
  Messages: 361
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  Sina wivu nao lakini hawa ni sawa na vijikodi kwenye lita ya mafuta ya injini nchini Tanzania. Nafasi hii iangaliwe upya. Je, Kenya wapo?
   
 14. N

  NCHABIRONDA JF-Expert Member

  #14
  Jun 16, 2011
  Joined: Jun 6, 2011
  Messages: 238
  Likes Received: 5
  Trophy Points: 35
  Hivi viti maalum mi naona havina faida yoyote kwa taifa. Ebu jiulize" Vicky Kamata anawakilisha mkoa wa Geita KIBUNGE, huku sasa hivi tunaambiwa suala la mikoa mpya hamuna tena. Vicky Kamata wakati anateuliwa ilikuwa aje awakilishe mkoa wa Geita, nasasa hivi hakuna tena mkoa wa Geita sasa je, Vicky Kamata yuko tayari kujiuzuru? Na kama atakataa kujiuzuru je, huko bungeni atakuwa anawakilisha mkoa gani?
   
 15. Mzalendo80

  Mzalendo80 JF-Expert Member

  #15
  Jun 16, 2011
  Joined: Oct 30, 2010
  Messages: 2,385
  Likes Received: 122
  Trophy Points: 160
  Mfano upo kwa Bibi kiroboto anavyoliharibu Bunge
   
 16. Criss

  Criss JF-Expert Member

  #16
  Jun 16, 2011
  Joined: Mar 19, 2011
  Messages: 825
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 35
  Lengo la viti maalumu ni kuwaondolea stress wakuu wawapo mjengoni
  Otherwise vipigwe chini na kama lengo ni 50/50 basi vigezo vizingatiwe bhana sio kodi zetu zinaliwa kisengese.... tu aisee.
   
 17. gango

  gango Member

  #17
  Jun 16, 2011
  Joined: Feb 24, 2010
  Messages: 30
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  duu nchi sha uzwa hiiii
   
 18. Mzee wa Rula

  Mzee wa Rula JF-Expert Member

  #18
  Jun 16, 2011
  Joined: Oct 6, 2010
  Messages: 8,177
  Likes Received: 89
  Trophy Points: 145
  Kweli kuna baadhi ya wabunge wa viti maalumu na wa kuchaguliwa wamekuwa wanafiki sana. Mtu anaanza kwa kuwasifu marais wote wa awamu nne, kisha anakuja kumpa hongera spika kwa kuchaguliwa na kuendesha bunge vizuri kama 2min hivi ndiyo anakuja kwenye hoja kwanza anaanza kuwaponda viongozi wa upinzani Zitto na mwenzake Mbowe na kuja kwenye mada kuwa vipaumbele vilianishwa kwenye bajeti ni muhimu kutekelezwa na vikitekelezwa vitapunguza umaskini mtanzania na kumuwezesha mtanzania kuishi maisha bora. KATIKA YOTE YAANI KASAHAU 1.6TRILL ZINAHITAJIKA KUFINANCE RECURRENT EXPENDIURE! Mwisho anaunga mkono hoja, ama kweli sitting allowance inawadhalilisha baadhi ya wabunge.
   
 19. C

  Caroline Danzi JF-Expert Member

  #19
  Jun 16, 2011
  Joined: Dec 19, 2008
  Messages: 3,629
  Likes Received: 58
  Trophy Points: 145
  Gango avatar yako inatisha wangu, ebu tuwekee nyingine. Viti maalum ni ufujaji wa hela. Mungu awatie nguvu sisi tunahangaika huku wao wanakula hela nara sera hawana.

  Mungu wetu tutendee miujiza hawa Mafisadi wamezidi kutuonea.
   
 20. m

  mzee wa njaa JF-Expert Member

  #20
  Jun 16, 2011
  Joined: Jun 16, 2011
  Messages: 1,368
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  Hivyo viti maalumu viko kwa maslahi binafsi labda ifanyike research kama havitakuwa na umuhimu vifutwe tu manake vinawapa watu jeuri sana.
   
Loading...