Leo nimejua kwanini Makaburu wa South Africa walikuwa wanalamba shaba Wasauzi asili

green rajab

JF-Expert Member
Oct 16, 2015
11,305
35,852
Yaani sijawahi ona waafrika wapumbavu kama wa Sauzi tangu wamepata Uhuru toka kwa Makaburu ndio tumejua tabia zao halisi, yani Serikali yao inawalea kama mayai majitu yanaandamana kwa lengo la kufanya uhalifu wizi wa kupora mali za wageni kuua waafrika wenzao wageni.

Kwa tabia nawaunga mkono Makaburu kipindi wanawalamba shaba za matako. Juzi nimeliona jamaa kubwa kabisa brother men kumbe jizi limeiba kreti ya soda limebeba linakimbia aise wanadhalilisha ustaarabu wa mtu mweusi sababu kubwa hawa jamaa hawabebeki kwanza wavivu, hawapendi kazi, walevi na umalaya ndio maana maambukizi ya HIV huko ipo juu sana afu yana roho mbaya.

dqhedu2o0wh3bwjsx360ed82f2f0bf2.jpg
images-30.jpg
6LK3DCYNXFOCRFHWA2XCMTJFXY.jpg
1310056840_16261326981381n.jpg
 
Mi siyapendi kinyama,ni mibaguzi sana hasa kwa waafrika wenzao kwa sababu ya uvivu wao
Huwa wanajiona kuwa wao wameendelea kwao ni ulaya na sio Africa.wakati makabulu ndo wenye uchumi huko.

Sasa umeona huo ubaguzi ni sawa na wa kikabila wa kujiona kuwa sie tumesoma na tuna mali,pia ni lazima serikalini kabila letu liwepo Mana sie tuna nguvu na wasomi ni wengi Sana kuliko wengine refer Rwanda Ethiopia Nigeria yaani afrika tunabaguana wenyewe kuliko hata mzungu anavyotubagua
 
Back
Top Bottom