Leo nimejisikia vibaya na kuona aibu nikiwa na dadangu tumbo moja, mbele ya changundoa

Dada yako alikua amevaaje ? Maana watu wakiishi nje hata wiki, atajifanya yuko tofauti, atavaa nusu uchi. Kama ni hivyo huyo changu hana kosa, si ulimpa cash ndefu kama unavyodai ? Aliona mwenzake anaenda kuchukua mpunga mrefu hivyo akashoboka. Ilibidi umuite aje kisha umwambie sister, " tangulia sister nitakukuta ngoja nikapige show fasta" Si mnaishi kishua ? Shida wapi ?
 
tatizo unarudia sana mkuu hawezi kaa kimya kama ameona golden customer wake
ungemwambia tu upo kazini changu hajaandikwa usoni
 
Malaya wa pale karibu wote wameungua.
Kama no buguruni nahisi no wale Malaya wana bar yao kabisa na lazima wakuite kutangaza biadhara...mzee atakua alijimilikisha...he wife a how...bad mistake
 
Back
Top Bottom