Leo nimefanya mkutano wa tatu jijini Arusha. Sijazomewa

Wana jf nimefanya mikutano mitatu mpaka sasa hakuna hata mkutano mmoja nimepatwa na kelele ya aina yeyote. Anayedhani kuna mkutano nimezomewa aendelee kuamini hivyohivyo, majibu yanakuja tar 16.

Mkuu tafuta washauri wazuri katika maswala yako ya kipolitics... if you can't find i can even for free...
 
Mkuu Nchemba,we ni MTU makini Sana,na Una akili,Kama wewe mmoja wa think tank wa CCM ,unakuja na bandiko la hivi Kama kuwananga watu,je hali ipoje Kwa wana CCM wengine wenye uwezo mdogo wa kureason mambo?
 
Ikiwa sisi raia wa kawaida tunachanganywa na haya mambo yanayoendelea nadhani waliomo ndani wana hali mbaya zaidi
 
Back
Top Bottom