Leo nimefanya mkutano wa tatu jijini Arusha. Sijazomewa

Wana jf nimefanya mikutano mitatu mpaka sasa hakuna hata mkutano mmoja nimepatwa na kelele ya aina yeyote. Anayedhani kuna mkutano nimezomewa aendelee kuamini hivyohivyo, majibu yanakuja tar 16.

kua makini siku hizi watu wanakimbiza mwizi kimya kimya,
 
katka upuuzi unao ni shangaza ni jamaa anae tembea na kuonyeshwa kwenye majukwa na mwigu adhiifu ni katuni....sio kitu kizuri, mwigulu ajenge hoja sio kufanya hupuuzi huo

Wameona kuwatumia wanamuziki njaa wa suruali mlegezo hakulipi. Sasa wameamua kumfanya yule jamaa wa tindikali ndio kivutio cha kuleta watu kwenye kampeni zao.

Tumwambie Mwigulu kwamba watu kidogo anao waona, wanakuja kushangaa huyo muuza sura wenu mnaemvalisha miwani kwa jinsi anavyoona aibu kwa uzuri alio nao! Eti ndiye Mr. CCM!

Tunasikia mwaka kesho mna mpango wa kupeleka kwenye "BIG BROTHERS" Afika ya Kusini!!!
 
Mwigulu ni kinda wa siasa, wenzie wanamtumia kama ya ndani yeye hajui.
Siku ikifika anakuwa mbuzi wa kuondoa dhambi za CCM na Mafisadi wake.

Hiyo kofia yako Mwigulu enzi tulikuwa tunaita zilipendwa.
Wenzio kule China hawavai tena, wewe unaona kivuno na kipigio cha KUWAKOGA WATU.
Hiiiiiii Hiiiii Hiiiiii:second:
 
basi kama hujazomewa, mimi nakuzomea...HILOOOOOOOOOOOOOOOOOOOOOOOOOOOOOOOOOOOOOOOOO
Na mimi nalizomea tena kwa mara ya tatu kubwa jinga hilooooooooooooooooooo....

Limwehu hilooooooooooooooooooooooo........shetani hilooooooooooooooooooo.mng'oa watu wasio na hatia kucha na meno plus utekaji na kubambika kesi za ugaidi hiloooooooooooooooo, vuvuzela hiloooollllllllll
 
Acha uwongo mimi nilikuwepo kwenye mkutano na nilikuwa kati ya wazomeaji maana unaongea pumba...tena nakuzomea na hapa iloooooooooo....----- hilooooooo.......licchawi hilooooooooooo......liuaji hilooooooooo...sura mbaya hiloooooooooooo.......kubwa jinga hiloooooooooo....limwenda wazimu hilooooooooooo......mtu mzima ovuo huyoooooo......umekuwa kiumri ila akili yako yakitoto hiloooooooooo.......ling'oa watu kucha na meno bila ganzi hilooooooooo tulizomeeee hilooooooooooooool!
Mkuu hizi ni fujo tu zenu vijana wa bavicha rai yangu kwako mwigulu hawa ni vijana wa bavicha ambao wanalipwa kutukana watu naomba ujue kuwa wewe ni naibu katibu mkuu wa chama chama kinakutegemea sana achana na hawa wahuni wa bavicha chapa kazi songa mbele.
 
Mbuni akiona kazidiwa huchimbia kichwa chake mchangani. Acha hadithi za Abunuwasi... ukifika nyumbani kwangu usifunue kawa ukala chakula chote. Kauli yako kusisitiza hukuzomewa inaashiria kinyume cha mambo. Mtu mwenye akili timamu hawezi kuanza kusema 'siyo mimi'.
 
Kiongozi!

Hivi kuna ubaya uliozidi ubaya wa CCM? Yaani usitake kijifariji. Maana hapo ndio ghala la ubaya lilipo.

1. Wizi wa mali za umma - CCM
2. Elimu duni - CCM
3. Huduma mbovu za afya - CCM
4. Kifo cha Reli ya Kati na TAZARA - CCM
5. Mauaji ya Tembo na kusafirisha wanyama wetu nje ya nchi - CCM
6. Ufisadi - CCM
7. Mikataba mibovu - CCM
8. Wabunge kutokuwa watetezi wa wananchi - CCM
9. Viongozi wa serikali kuzurura nje ya nchi bila tija - CCM
10. Kushangaa maendeleo ya nchi za wenzetu - CCM
11. Kutembeza bakuli la UMATONYA duniani - CCM
12. Na mazagazaga mengine utajaza mwenyewe ...............
No one is Angel so as CCM. Whoever among you is guiltless may be the first to condemn CCM.
 
Umefanya mkutano au umehubiri majungu na matusi na kumdhalilisha kijana wa watu unayemtembeza majukwaani kwa maslahi yako kisiasa.

Mbona hujajibu tuhuma za kuagiza kambi ya green guard iundwe kule Mbeya na kufanya jaribio la kuteka viongozi wa CHADEMA jana?

Green guard wanaendesha mafunzo,polisi wanaona kawaida.Sasa itabidi tujilinde kwa kutumia Red Brigade!Siasa zenu za kihuni tutazikomesha

huu ni ushenzi unao simamiwa na kupewa baraka na serekali sikivu ya mafisadi....mwigulu hana hata chembe ya ubinadamu anamtumia kijana wa watu kama zuzu la kupitisha kwenye majukwaa, kijana nae kwa dhiki anakubali kuzalilishawa kisha vijisent kila apandapo jukwaani...akili za mwigulu angekuwa chadema angetembea na picha pamoja na familia ya mwangosi majukwaani,
 
Wameona kuwatumia wanamuziki njaa wa suruali mlegezo hakulipi. Sasa wameamua kumfanya yule jamaa wa tindikali ndio kivutio cha kuleta watu kwenye kampeni zao.

Tumwambie Mwigulu kwamba watu kidogo anao waona, wanakuja kushangaa huyo muuza sura wenu mnaemvalisha miwani kwa jinsi anavyoona aibu kwa uzuri alio nao! Eti ndiye Mr. CCM!

Tunasikia mwaka kesho mna mpango wa kupeleka kwenye "BIG BROTHERS" Afika ya Kusini!!!

hahahahahaha lol....
 
https://www.jamiiforums.com/chaguzi...aloleni-jijini-arusha-kampeni-za-udiwani.html
 
Wana jf nimefanya mikutano mitatu mpaka sasa hakuna hata mkutano mmoja nimepatwa na kelele ya aina yeyote. Anayedhani kuna mkutano nimezomewa aendelee kuamini hivyohivyo, majibu yanakuja tar 16.

Ukitaka jua unachukiwa J3 tafuta baa moja mtume mtu kwa siri akaongee nao badala ya kuweka live bunge aweke mkanda uliorekodiwa wewe ukiongea.Halafu jipenyeze uingie halafu usikie matusi yake..usikie wanavyokutukana na kujiapiza jinsi wanavyo mchukia huyo mbunge ambaye ni wewe...utasikia maneno ambayo hutokaa uipende arusha.

Huwa wanawaita atu wa njia ya vumbi...Na watu wa njia za vumbi wameweka record yao ya tabia za kujidhalilisha sana.

Wewe ni wa njia ya vumbi tuu.....hata masai za porini atakuambia hilo.Hawatashangaa tabia zako,ila watazichukia kwa kiasi cha kukuchukia.
 
Huyu sio kiongozi ni mwendawazimu, kumbe kuja kote Arusha ni kutafuta sifa za kuja kusema huku JF kuwa hujazomewa badala ya kuelezea kero za watanzania ulizozikuta huko, ama kweli sasa nimekubaliana na watu waliokuwa wanasema kuwa huna akili. Alafu usidanganye watu kuwa hujazomewa,labda sio arusha nayoifahamu.
 
Back
Top Bottom