Leo nimefanikiwa kuhack simu kwa kutumia SPYNOTE RAT v6...

DX2018

Member
Nov 24, 2018
55
45
kitu nilichokuwa na kitafuta leo leo nimekipata kiukweli nimefurahiii sana . kwa sababu lengo langu limetimia na imenichukua mda kuielewa hii program .

kikubwa nilichofanya ni kusikiliza wadau wa humu maelekezo yao kisha kujaribu kuyafanyia kazi.

Hizi ndo hatua nilizozipitia

1. nimeregister account hapa HAPA FREE KABISA (NGROK)

2. Baada ya hapo nika verify email yangu

3. nikadownload spynote v6.... cracked Spynote v6.... cracked hapa password ni spynote2019

tuwekane sawa hapa. ni kwamba hii software inaenda kuopen port kwenye computer yako kupitia accessibility ya firewall za pc yako. sasa kama una antivirus basi hiii kitu kwako haitafanya kazi na unatkiwa uzime antivirus au ku add hii spynote kwenye whitelist.

sasa kama unahisi ni kinyume tusibishane

ingia hapa kwenye official site yao ukanunue yakooooo HAPA OFFICIAL SITE ( :D Tusisumbuaneeee kwenye comments) hahahahha

4. basi nilivyomaliza nikaweka ngrok yangu kwenye desktop kisha nikafungua cmd nikalocate hio directory kisha nikawasha ngrok tcp 5555 nikapewa link ya kuweka kule kwenye spynote

MFANO
https://jdiieieie.ngrok.io:57823----->5555


ip ya payload ni una ping jdiieieie.ngrok.io
port ni 57823

kwenye kulisten nikaweka port 5555

basi nikageneerate ka payload kwangu nikampa mtu wangu ...akainstall basi nikawa naweza controll simu yake na leo ni siku ya nne niko naye 😆😅😂🤣

ahsanten hackers kwa kunielewesha hii kitu

images.jpeg
 
Endlea Mkuu na zoez lako la kudukuwa maana malengo yako unayajua mwenyewe
 
Back
Top Bottom