Leo nimeenda kwenye kikao cha wazazi darasa la Saba, hakuna mzazi hata moja kaja na gari. Kuna kitu nimejifunza

Umekuwa kama mimi siku hizi nikipita shule yoyote ya primary ya serikali nikaona hakuna hata kagari kakuzugia huwa najua walimu wa pale wamepigika kweli kweli na hata hawawezi kuwapa motisha wanafunzi, nachukia mno kuona mapikpik aina ya sanlg yamepakiwa shuleni utadhani bodaboda ndo wamo madarasani wanafundisha

Hivi inakuwaje mtumishi wa serikali anaenda dukan kununua pikpiki yake ya kuendea kazini anachagua sanlg, yaani boxer, tvs, baja, xl, honda huzioni

Ila kuna baadhi ya mashule ya primary ya serikali yapo njema hatari nje unakuta watu wamepaki vyuma hadi unashangaa,ila walimu wa hv sizan kama wanakomaa sana kufundisha
Hamna kada inakula vizuri kama walimu wa mjini ndiyo maana wengi wana magari mazuri maana shule unakuta inawanafunzi mpaka 3000 halafu kila siku wanapeleka hela ya mkakati kuanzia 300-500
 
Leo niliitwa shuleni kwenda kwenye kikao cha mjukuu wangu yupo darasa la Saba anatarajia kufanya mtihani mwaka huu. Nikachukua baskeli yangu na kwenda kwenye kikao shuleni. Nimefika nimechelewa sana ila kuna kitu nikawa najiuliza baada kufika pale nje, mbona hakuna hata gari moja ya mzazi na pikipiki baskeli na waenda kwa miguu.

Hii ilinipa mawazo na kuwaza mambo tofauti hata nilipoingia ndani wazazi tuliopo ni mavazi yetu tu yanakupa jibu sisi wazazi namna gani mungu ibariki Tanzania wabariki na watu wake
Nikajua Mwendazake aliwafanya mkawa matajiri 😆😆😆😆
 
Wahudhuriaji wa kikao itakuwa mlikuwa wengi kimtindo...

BUT ndio mjue,, Mtaji wa watoto wenu ni nguvu zao wenyewe,,maana hapo wazee inaonekana connection hakuna
 
Tutakukumbuka Daima hayati John Joseph Pombe Magufuli, ungekuwepo baba leo tusingeuziwa mafuta lita 1 sh 7500. Mkojani anaupiga mwingi ulimwenguni sie tunavunja chawa tu mitaani baba.
Kwani huyu jpm wako hakua na makamu, au cabinet wote walikufa?
 
Umepaniki eeh mjukuu wangu pole sana
Ninapaniki kivipi?
Kwa haya chini...

Jumamosi na Kikao kikaisha mapema kabla ya saa sita.



Pikipiki baiskeli na waenda miguu>wote ni Gari?

Hilo juu ndio ulitaka leta-mawazo yako- sio uliloliona!

Kama kweli wewe ni Babu namwonea huruma mjuu wako!

Kama kweli wewe ulifika pale na hukuona "baiskeli,gari na waenda miguu" hata baiskeli yako- ulipofuka ghafla!

Kama hayo juu sio kweli, utuambie ulifikaje bila kuona.

Huo umasikini unaotaka kutuaminisha-ningekusii uuze simu yako, uache kulipia intaneti, na baiskeli yako ambayo wewe mwenyewe haukuiona kwenye pakingi uuze. Ununue gari.

Zaidi, ni porojo,kejeli zenye uhasama . Ni dhihaki

Pole Babu.

Umedai mwenyewe kuwa ulijifunza, na nilichoona mimi ni ulibubujikwa na mawazo!
Leo niliitwa shuleni kwenda kwenye kikao cha mjukuu wangu yupo darasa la Saba anatarajia kufanya mtihani mwaka huu. Nikachukua baskeli yangu na kwenda kwenye kikao shuleni. Nimefika nimechelewa sana ila kuna kitu nikawa najiuliza baada kufika pale nje, mbona hakuna hata gari moja ya mzazi na pikipiki baskeli na waenda kwa miguu.

Hii ilinipa mawazo na kuwaza mambo tofauti hata nilipoingia ndani wazazi tuliopo ni mavazi yetu tu yanakupa jibu sisi wazazi namna gani mungu ibariki Tanzania wabariki na watu wake


...Ndiyo hayo uliyojifunza?
Pole babu, na mimi mjukuu nimejifunza.
 
Omba Sana Mungu usiwe na mawazo kama ya mleta mada.

Kuamini kuwa kumiliki gari ndy kuyapatia maisha.

Mleta mada badilika akili,,

Nilidhani ungeumia zaidi ,,
kwamba wazazi wote mliohidhuria kikao shuleni ni wapangaji.

Hakuna mwenye nyumba hata mmoja.
Au kama anayo basi karithi kutoka kwa wazazi wake..

Kwani nyumba ndiyo kuyapatia maisha?
 
Utaenda na nyumba kwenye kikao?
Kwenda na gari kwenye kikao ndy umeyapatia maisha?

Mkuu unakuwa na akili kama za wadada wa mjini.

Kila mwanaume mwenye gari basi ndy mwenye pesa.
Hata kama amepanga chumba kimoja tandale mto ng'ombe..

Gari ni kama simu au TV Tu,
Kila siku zinatoka model mpya na zile za zamani kupitwa na wakati.
 
Back
Top Bottom