Leo nimeaibika sana, roho inauma

Zingatia matunda, mazoez, kula ugal achana na wali mkuu, kunywa maziwa, kula vizur Penda kupumzika achana na hofu unakuwa na hofu kwa sababu hufanyi mapenz Mara kwa Mara Fanya mapenz Mara kwa Mara uta gain stability
 
Mimi ni kijana wa miaka 25 mkazi wa Dar es Salaam. Kwa muda mrefu sijawa katika mahusiano nikiwa na deal tu na mishe zangu, sasa leo nimepata nafasi ya kula tunda la binti mmoja hivi ambaye amekuja hadi getho.

Lahaula uume umekataa kusimama kabisa mpaka anaondoka yaani aibu sana mimi mtoto wa kiume. Na hii sio mara ya kwanza ishawahi nitokea kama mara mbili. Pia nishawahi kwenda hospital (Regency) nikaandikiwa dawa inaitwa Tradafil ila sijaitumia kuogopa kutosimama bila dawa.

Nisaidieni wanajamii naaibika mimi
Kapime sukari.Shida ya wanaume wengi wakiona nguvu wanahisi wana shida kumbe kiwango cha sukari hakipo sawa
 
Tat
Izo lako ni la hisia zaidi, kisaikolojia ..kwakuwa wewe unajijuwa zaidi unaweza kutuambia unahisi labda hili tatizo limeoykana na nini?

Ndio namimi ninahisi hivyo au hofu,kwasababu asubuhi nikiamka mashine mara nyingi husimama
 
unapokuwa mwenyewe kuna wakati unasimama vizuri? inawezekana unakuwa hujiamini ndio inapelekea yote hayo.

kana wkt mwingine inasimama haaitaji dawa ya ku boost unaitaji kujipanga kisaikolojia na kama mdau alivyoshauri hapo mwanzo, andaa muda wa kutosha kukaa nae alafu next visit usije ukawa tena na wasiwasi kuwa itanitokea tena au vipi maana tatizo litarudi.

Hata leo baada ya kuamka tu mashine ilisimama na wakati jana nipo na mtoto imegoma kabisa
 
Ofcoz wayahudi wana akili kuliko waarabu walioandika quran
NI kweli ndo maana wanamuita yesu NI mtoto wa zinaa.
Maana katika hali ya kawaida mwanamke hawezi kubeba mimba bila kufanya mapenzi.
Wayahudi wako sahihi.
 
Ndio namimi ninahisi hivyo au hofu,kwasababu asubuhi nikiamka mashine mara nyingi husimama
Hofu inakusumbuwa na pia inawezekana ulitoka na mwanamke ambaye hakuvutii kimapenzi pia..

Jaribu kuoata mtu wa kukuvutia haswa
 
Hofu inakusumbuwa na pia inawezekana ulitoka na mwanamke ambaye hakuvutii kimapenzi pia..

Jaribu kuoata mtu wa kukuvutia haswa
Akichukua wa kumvutia haswa, atasimamisha lakini atamwaga chini ya dk 1 hahahahah
 
Mimi ni kijana wa miaka 25 mkazi wa Dar es Salaam. Kwa muda mrefu sijawa katika mahusiano nikiwa na deal tu na mishe zangu, sasa leo nimepata nafasi ya kula tunda la binti mmoja hivi ambaye amekuja hadi getho.

Lahaula uume umekataa kusimama kabisa mpaka anaondoka yaani aibu sana mimi mtoto wa kiume. Na hii sio mara ya kwanza ishawahi nitokea kama mara mbili. Pia nishawahi kwenda hospital (Regency) nikaandikiwa dawa inaitwa Tradafil ila sijaitumia kuogopa kutosimama bila dawa.

Nisaidieni wanajamii naaibika mimi

Uache kula chips, fanya mazoezi, think positive
 
Mboo yangu haikuwah kunisaliti walah, hata kuna siku nlikuwa naumwa malaria kali likaja toto nimelikimbiza muda mrefu bila mafanikio nilipiga cha mkweli baada ya hapo nliumwa almanusura israeli apite na mimi.... mkuu pole na punguza mawazo na kama ulikuwa unajichua acha kabisa, fanya kegel exercise...Pole sana mkuu
 
Mimi ni kijana wa miaka 25 mkazi wa Dar es Salaam. Kwa muda mrefu sijawa katika mahusiano nikiwa na deal tu na mishe zangu, sasa leo nimepata nafasi ya kula tunda la binti mmoja hivi ambaye amekuja hadi getho.

Lahaula uume umekataa kusimama kabisa mpaka anaondoka yaani aibu sana mimi mtoto wa kiume. Na hii sio mara ya kwanza ishawahi nitokea kama mara mbili. Pia nishawahi kwenda hospital (Regency) nikaandikiwa dawa inaitwa Tradafil ila sijaitumia kuogopa kutosimama bila dawa.

Nisaidieni wanajamii naaibika mimi
Hospitali walichukua vipimo?walikupa majibu ya vipimo?
 
Sasa kumbe rijali kabisa, wasiwasi wa nini hadi kuja kutusumbua na 'sredi'

Halafu kuna uzi uliandika kuwa una admire vijana wa kiume, hebu fafanua zaidi...isije ikawa chanzo ndio hapo unapata stimu baada ya kupigwa pipe😬
Atakua mchicha mwiba
 
Back
Top Bottom