Leo nilikuwa nipeleke barua ya posa ila nilivyofika chuo cha Ushirika Moshi nimeingia mitini

Aisee! Asikuambie mtu Moshi kuna warembo..

-Leo nilikuwa Moshi kwa tukio la kihistoria la kupeleka barua na kujitambulisha kwa wazee wa binti, ila wakati nikitembea mitaani nikitazama mandhari ya jiji la Moshi nikajikuta nimetokea maeneo ya Chuo cha Ushirika Moshi, salalee kuna watoto wakali balaa na kilichonipeleka huko nikaghairi, naona kuna pisi zina viwango kiasi kwamba yule naeenda kujitambulisha kwao nighairi kwanza..
Tafuta $$$ mwana. Hao wapo wengi tu ila wapo kimaslahi zaidi.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom