Leo Ni Uchaguzi wa Serikali za Mitaa SA (Local Government South Africa) | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Leo Ni Uchaguzi wa Serikali za Mitaa SA (Local Government South Africa)

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by Mzalendo80, May 18, 2011.

 1. Mzalendo80

  Mzalendo80 JF-Expert Member

  #1
  May 18, 2011
  Joined: Oct 30, 2010
  Messages: 2,385
  Likes Received: 122
  Trophy Points: 160
  Juzi na Jana South Africa kulikuwa na Special Vote, Police, Madokta na Manesi, Wanajeshi, Wazee na Wagonjwa wakioa kuwa wamelazwa Hospitalini wakichagua madiwani, wakuu wa wilaya (Vitongoji) mameya na nfasi nyingine katika serikali za mitaa. Leo ni kupiga kura kwa watu wote.

  Jamani watanzania wenzangu Katiba ni muhimu kwetu sisi hasa sisi walalahoi itatusaidia sana kuchagua watu tunaowataka.

  Lazima katiba mpya itungwe ili kudhibiti ujinga wa kuteua au kupeana vyeo kiushikaji sio Kila kitu ni Rais anateua kana kwamba nchi ni ya kifalme. Katiba mpya ni Muhimu kwetu Watanzania ili na sisi tuweze kuwabana Mafisadi wanotumia vyeo vya Watanzania kwa manufaa yao.
   

  Attached Files:

Loading...