Mmawia
JF-Expert Member
- Aug 20, 2013
- 122,490
- 96,053
Leo kile kitendawili cha kumpata meya wa jiji la dsm kinateguliwa hasa baada ya rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Rais Magufuli kusisitiza kuwa uchaguzi huo ufanyike bila ya figisu figisu za kukimbilia mahakamani. Wana ukawa leo ni siku yetu ya kuongezea idadi ya majiji kwenye umiliki wa kuitawala na dua zetu ni muhimu sana kwa hili.