Leo ni TBT hebu sema ni beat ya wimbo upi ambayo ukiisikia tuu inaanza unapagawa

GLAMOROUS -FERGIE
isg2noq2bcjrrqonrb1m.jpg
 
Kwa Majani Natoka Na Beat za Nikusaidiaje, Mikasi, Nini Mnataka, Na Nampenda yeye.

Kwa Mika Mwamba.. Ya kwanza Tamala, Babe Gal, Mpenzi ya Dudu Baya, Nakumind ya Temba na Zote za mahadhi ya Barua, Salome au Omba umauti ya Fagio la chuma.

Kwa Mj nakutana na Wauguzi ya Wagosi, Fani katika Maisha ya Mzimuni family chorus ikifanyiwa maafa na Q Chilla, ukitaka nipende au nichukie ya wateule..

Soundcraft, tumerudi tena ya wateule,

Mawingu, jebi wanapagawa, alikufa kwa ngoma,


Nyinginezo... Mawazo ya Jide.... Tangazo ya Bantu Mcz..... Kaa tayari ya Jose Mtambo... Kosa la Marehem ya Uswahilini matola,... Wapo wanotaka ya Danny Msimamo,..... Kighetogheto ya Nature na Mtoto wa geti kali ya Babuu,....

Bado nafuta vumbi mafaili
Umesahau kutoka kwa g record ya Roy.... Ice cream ya noorah

Na zile za park lane.... Aisha aisha na nafasi nyingine zimepikwa nani vile? Halafu kuna crunk moja la cpwaa nimelisahau jina em nikumbushe......
 
Back
Top Bottom