Leo ni siku yangu ya kuzaliwa, kauli ya Rais Magufuli leo imenifanya nimshukuru Mungu sana kwani niliyoyahofia ndiyo aliyoyasema

sifi leo

JF-Expert Member
Mar 30, 2012
5,010
8,355
Ni takrbani miaka kadhaa iliyopita wakati Mh Rais wa awamu ya tatu anaazmisha miaka 81 ya kuzaliwa mimi nina azimisha kufikisha nusu ya miaka ambayo wakiristo tunaamini ni ile miaka ambayo wanadamu tunatakiwa kuiishi na endapo itatokea tumekufa chin ya miaka 70 kifo hicho uitwa si mapenzi ya Mungu.

Namshukuru Mungu sanaa kwa yale niliyoyapitia mpaka hapa nilipofikia, pamoja nagukuni hizo niwe mkweli nimefurah pia kuazmisha siku yangu ya kuzaliwa pamoja naa kiongozi mkuu wa nchi

Furaha yangu inaambatana na kuona mzaliwa mwebzang wa tarehe moja anazindua kitabu chake kiitwacho MAISHAYANGU,KUSUDIO LANGU.

niwe wazi wakati yeye anazindua kitabu chake hicho nami siku yangu ya leo nimeiazimisha kwa kufikia ukurasa wa 102,wa RIWAYA YANGU YA SHIMO LA TAKA NDANI YA IKULU, pengine siku kama ya leo mwakani naweza nami nikaazmisha miaka mingine kwa kukizindua kitabu hicho.

Sambamba na furaha niliyonayo, leo nmesikitika mgeni rasmi wa tukio la leo alipokarbishwa kuweza kuongea kidgo Nmesikitika kidgo pale Mh Rais aliposena kuwa wakati akiwa waziri aliwai kynusurika kufa kwa kuwekewa sumu kweny chakula tena viongozi wenzake walio mchukia kwa utendaji wake ulio tukuka.

Niseme, mimi nikiwa kidato cha tatu niligombea UKAKA mkuu wa shule, niliukosa kwa ngiriba za mwalimu mmoja alie niundia zengwe baya sana,aliyeshinda alitambua kuwa nilimshinda ili kuondoa chuki aliniteua kuwa miongoni mwa mawaziri.

Nilipofika kidato cha tano pale Aza boy,nakumbuka nilipata nafasi ya kuhudumu kama Waziri wa Habar na mahusiano, makamu mwenyekiyi Ysc, lakini pia nilihudumu kama mkurugenzi wa Gazeti,

Uzoezfu huo ukinisaidia nilipofika Chuo kikuu nilipata nafasi ya kuhudumu kama Waziri wa habar Tena na mahusiano.

Kutokana na uzoefu huo na utendaji wangu,nilipoitimu chuo kikuu nilitamani sanaaa kujiunga na siasa na kuwa miongoni mwa wanasiasa,moja ya vitu nilivyo vioffia ni KUWA ENDAPO NITAJIUNGA NA SIASA NINGEWEZA KUUWA.

mpka leo vyeti na ujuzi wangu katika siasa nmevizika kabatini kwa kuogopa kuuawa.

Leo ndo nimeamini nilichokiogopa kumbe ni kweli kipo.

Nawatakia tafakuri njema.
 
Kwamba ulikuwa huaamini kwenye foleni baada ya shetani anayefuata ni "mwanasiwasa"......................!

Hongera kwa kuazimisha siku yako ya kuzaliwa, mwezi wa nne nasi tutakuwa late JK kuazimisha siku ya kuzaliwa.
 
Ni takrbani miaka kadhaa iliyopita wakati Mh Rais wa awamu ya tatu anaazmisha miaka 81 ya kuzaliwa mimi nina azimisha kufikisha nusu ya miaka ambayo wakiristo tunaamini ni ile miaka ambayo wanadamu tunatakiwa kuiishi na endapo itatokea tumekufa chin ya miaka 70 kifo hicho uitwa si mapenzi ya Mungu.

Namshukuru Mungu sanaa kwa yale niliyoyapitia mpaka hapa nilipofikia, pamoja nagukuni hizo niwe mkweli nimefurah pia kuazmisha siku yangu ya kuzaliwa pamoja naa kiongozi mkuu wa nchi
Furaha yangu inaambatana na kuona mzaliwa mwebzang wa tarehe moja anazindua kitabu chake kiitwacho MAISHAYANGU,KUSUDIO LANGU.
Ni kuadhimisha na siyo kuazimisha. Kuazimisha lina maana nyingine kabisa.
 
3 Reactions
Reply
Back
Top Bottom