Leo ni siku yakulienzi bara la Afrika. Je unalolote lakujivunia. | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Leo ni siku yakulienzi bara la Afrika. Je unalolote lakujivunia.

Discussion in 'Habari na Hoja mchanganyiko' started by Sharp lady, May 25, 2011.

 1. S

  Sharp lady Senior Member

  #1
  May 25, 2011
  Joined: Feb 23, 2011
  Messages: 129
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Leo ni siku yakulienzi bara la Afrika. Afrika ikiwa ni bara lililobarikiwa kuwa na rasilimali nyingi ila limejikuta likikabiliwa na umasikini wakupindukia viongozi waliojaa uchu wa madaraka nakila aina ya shulubashuluba. Je katika siku maalum kama ya leo unajivunia nini?
   
 2. Y

  Yakuonea JF-Expert Member

  #2
  May 25, 2011
  Joined: Apr 11, 2011
  Messages: 601
  Likes Received: 6
  Trophy Points: 35
  ukiangalia nchi nyingi za africa utaona zimetawaliwa na huzuni zaidi kuliko ya kujivunia, hakuna utawala wa sheria,hakuna huduma za kijamii(hafifu),uchu wa madaraka na kujilimbikizia mali,vita vya wenyewe kwa wenyewe,vifo kutokana na magonjwa yanayozuilika na mengineyo mengi,kwa ujumla ya kujivunia ni machache
   
Loading...