Leo ni Siku Ya Wazee Duniani

Ndallo

JF-Expert Member
Oct 1, 2010
7,619
4,292
Leo ni siku ya wazee duniani! Nawatakiwa wazee wote waliokula chuvi nyingi heri na fanaka katika siku hii yenu.
senior_citizen1.jpg
 
Hiyi siku zimekua nyingi kweli ...mwishowe itakuja na siku ya wapiga puny...eto
 
Pia ni siku ya pombe dunian - beer festival. Nenda leaders
 
Leo ni siku ya wazee duniani! Nawatakiwa wazee wote waliokula chuvi nyingi heri na fanaka katika siku hii yenu.
senior_citizen1.jpg

Siku ya wazee,siku ya wakina mama,siku ya mikono,siku ya figo,siku ya matiti,siku ya wajinga nk.,mpaka mwishowe siku ya .....Jamaa wanatuzuga tu,wala hatujui kinachoendelea.Kazi kweli kweli.
 
Back
Top Bottom