Leo ni siku ya mkesha wa Arobaini ya kifo cha mke wa KakaKiiza...! | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Leo ni siku ya mkesha wa Arobaini ya kifo cha mke wa KakaKiiza...!

Discussion in 'Mahusiano, mapenzi, urafiki' started by Mtambuzi, Oct 13, 2012.

 1. Mtambuzi

  Mtambuzi Platinum Member

  #1
  Oct 13, 2012
  Joined: Oct 29, 2008
  Messages: 8,795
  Likes Received: 1,247
  Trophy Points: 280
  Kama mnakumbuka mwana JF mwenzetu KakaKiiza alimpoteza mkewe hapo mnamo Agosti 31, 2012 siku ya Ijumaa.
  Leo hii kutakuw ana mkesha wa Arobaini tangu msiba huo utkee na watu watakutana Tageta kwa Majura pale ulipokuwepo msiba kwa ajili ya mkesha na kesho misa itafanyika katika kanisa la Roma Tegeta.

  Tuungane na mwenzetu katika shughuli hiyo ya misa ya kumuombea mkewe.

  Kwa yule ambaye hakupata taarifa za msiba huu, anaweza kufungua link hii ili kujikumbusha.....

  https://www.jamiiforums.com/mahusiano-mapenzi-urafiki/317928-ulikuwa-ni-msiba-mzito-kwa-kakakiiza.html

  Nawasilisha.
   
 2. Ruttashobolwa

  Ruttashobolwa JF-Expert Member

  #2
  Oct 13, 2012
  Joined: Feb 22, 2012
  Messages: 43,747
  Likes Received: 12,840
  Trophy Points: 280
  Pole yake mungu azidi kumtangulia!
   
 3. L

  Lady G JF-Expert Member

  #3
  Oct 13, 2012
  Joined: Dec 13, 2010
  Messages: 517
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 0
  pole kakakiiza
   
 4. Gunda66

  Gunda66 JF-Expert Member

  #4
  Oct 13, 2012
  Joined: Mar 8, 2012
  Messages: 508
  Likes Received: 37
  Trophy Points: 45
  Tunashukuru sana Mtambuzi kwa kutukumbusha juu ya jambo hili :poa
   
 5. HorsePower

  HorsePower JF-Expert Member

  #5
  Oct 13, 2012
  Joined: Aug 22, 2008
  Messages: 3,617
  Likes Received: 38
  Trophy Points: 145
  Asante kwa taarifa, naomba nifikishie pole.
   
 6. B

  Bulesi JF-Expert Member

  #6
  Oct 13, 2012
  Joined: May 14, 2008
  Messages: 6,447
  Likes Received: 414
  Trophy Points: 180
  Pole sana KakaKiiza!
   
 7. King'asti

  King'asti JF-Expert Member

  #7
  Oct 13, 2012
  Joined: Nov 26, 2009
  Messages: 27,508
  Likes Received: 2,249
  Trophy Points: 280
  Pole tena kakakiiza. Mungu awajalie rehema na huruma yake katika kulibeba hili. Jipe moyo mkuu, tumaini lako ni juu.
   
 8. Z

  Zero One Two JF-Expert Member

  #8
  Oct 13, 2012
  Joined: Sep 16, 2007
  Messages: 9,390
  Likes Received: 25
  Trophy Points: 0
  Tupo pamoja ndugu! Kwa mapenzi ya Muumba yatupasa kushukuru kila jambo atutendealo.
   
 9. gfsonwin

  gfsonwin JF-Expert Member

  #9
  Oct 13, 2012
  Joined: Apr 12, 2012
  Messages: 16,966
  Likes Received: 1,859
  Trophy Points: 280
  pole tena mkuu Mungu akutangulie katika yaliyo baki.
   
 10. gobore

  gobore JF-Expert Member

  #10
  Oct 13, 2012
  Joined: Aug 17, 2009
  Messages: 730
  Likes Received: 13
  Trophy Points: 35
  Pole Kakakiiza, mungu amwangazie mpendwa wako nuru ya milele
   
 11. Aggrey86

  Aggrey86 JF-Expert Member

  #11
  Oct 13, 2012
  Joined: Jun 26, 2011
  Messages: 856
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 35
  Pole kaka kaiza Mungu azidi kukutia nguvu,wachache bila shaka watatuwakilisha vema kwenye hiyo ibada!
   
 12. O

  Otorong'ong'o JF-Expert Member

  #12
  Oct 13, 2012
  Joined: Aug 17, 2011
  Messages: 31,191
  Likes Received: 10,536
  Trophy Points: 280
  Last edited by a moderator: Jan 4, 2016
 13. Michael Amon

  Michael Amon Verified User

  #13
  Oct 13, 2012
  Joined: Dec 22, 2008
  Messages: 8,741
  Likes Received: 707
  Trophy Points: 280
  pamoja sana mkuu KakaKiiza...kwa kuwa mimi nipo mbali na eneo la tukio, sitoweza kuhudhuria katika ibada hiyo na badala yake nitamkumbuka katika sala zangu huku huku niliko...Mungu ailaze roho ya mke wa KakaKiiza mahali pema peponi. Amen.
   
 14. BONGOLALA

  BONGOLALA JF-Expert Member

  #14
  Oct 13, 2012
  Joined: Sep 14, 2009
  Messages: 13,791
  Likes Received: 2,398
  Trophy Points: 280
  Duu karne hii bado kuna mambo ya arobaini tena kukesha!
   
 15. KakaKiiza

  KakaKiiza JF-Expert Member

  #15
  Oct 14, 2012
  Joined: Feb 16, 2010
  Messages: 10,548
  Likes Received: 2,273
  Trophy Points: 280
  Sasa hapo unachoshangaa nini??au ni mwelekeo wa jina lako?Maana kama wewe unamila za kizungu mbona hata wazungu wana Arobaini ila wewe ujui???
   
 16. Mamndenyi

  Mamndenyi JF-Expert Member

  #16
  Oct 14, 2012
  Joined: Apr 11, 2011
  Messages: 29,109
  Likes Received: 6,587
  Trophy Points: 280
  Poleni sana.
   
 17. KakaKiiza

  KakaKiiza JF-Expert Member

  #17
  Oct 14, 2012
  Joined: Feb 16, 2010
  Messages: 10,548
  Likes Received: 2,273
  Trophy Points: 280
  Napend kutoa shukurani zangu za dhati kwenu nyote nawashukuruni na ninawakaribisha katika hii shughuli na asante Mtambuzi kwakuufikisha huu ujumbe!
   
  Last edited by a moderator: Jan 4, 2016
 18. andishile

  andishile JF-Expert Member

  #18
  Oct 14, 2012
  Joined: Apr 1, 2012
  Messages: 1,430
  Likes Received: 46
  Trophy Points: 145
  niko nanyi katika sala,asante mtambuzi kwa kutukumbusha!
   
 19. BelindaJacob

  BelindaJacob JF-Expert Member

  #19
  Oct 14, 2012
  Joined: Nov 24, 2008
  Messages: 6,060
  Likes Received: 476
  Trophy Points: 180
  Mungu aendelee kumpumzisha mahali pema Mrs.Kiiza. Nitashiriki nanyi kimaombi, niko mbali!!
   
Loading...