Leo ni siku ya kuzaliwa Mh. Tundu Antipas Lissu

Heri ya Siku ya Kuzaliwa Mhe. Tundu Lissu. Mungu mwenye rehema amekupa miaka mingine minne (4) ya kuendelea kumtumikia tangu wabaya wako walipotaka kukuondoa Duniani kwa zile mvua za Risasi nyingi pale Dodoma 😭😭

Mwaka huu tungekuwa tunakumbuka miaka 4 ya kifo chako, but God is great. Finally you are here to stay 💪💪💪🥂


Happy birthday 🍾🥂

Enjoy wimbo wa Ambwene Mwasongwe Tangulia Mbele
 
Screenshot_20210120_163137.JPG

Heri ya kuzaliwa mr President
 
Happy birthday Mwamba, mtu ma nusu.

Siki utayounga juhudi wewe ndiyo siku tutayoacha kupambana lakini mpaka sasa mapambano yanaendele.

Aluta Continua.

Ushindi unakaribia....

Lakini cha muhimu niwatakie wanaccm Mitano tena.
 
Back
Top Bottom