Leo ni Siku ya "Kutokuvaa Bra" Duniani

Siku ya Leo ulimwengu unasherehekea kutokuvaa Bra/Sidiria. Lengo ni kuhamasisha Kujikinga na Cancer ya Maziwa/Matiti.

Mkumbushe Mkeo/Demu/Mchepuko wako kusherehekea siku hii kwa kutokuvaa Bra/Sidiria.

October 13 is National No Bra Day, also known as: “the moment we get home from work“ day. Today is not just about comfort, though. National No Bra Day, which falls right in the middle of Breast Cancer Awareness Month, is a time for women (and men!) to learn about breast health.13 Oct 2020.

View attachment 1972729

View attachment 1972730
Mi sivaagi labda kama nguo ni transparent sana
 
Ndio wewe huyu??

IMG-20211013-WA0035.jpg
 
Siku ya Leo ulimwengu unasherehekea kutokuvaa Bra/Sidiria. Lengo ni kuhamasisha Kujikinga na Cancer ya Maziwa/Matiti.

Mkumbushe Mkeo/Demu/Mchepuko wako kusherehekea siku hii kwa kutokuvaa Bra/Sidiria.

October 13 is National No Bra Day, also known as: “the moment we get home from work“ day. Today is not just about comfort, though. National No Bra Day, which falls right in the middle of Breast Cancer Awareness Month, is a time for women (and men!) to learn about breast health.13 Oct 2020.

View attachment 1972729

View attachment 1972730
Sawa, ila atasheherekea ndani tu,tunawajua mnachokitafuta na uzungu wenu..
 
Dunia ina maajabu, tusishangae kusikia siku ya kutovaa chupi kuenzi uzazi, maana kumekuwa na siku nyingi za enzi. Sasa kaulimbiu ya mwaka huu kutovaa bra inasemaje?
 
Hahaahhhaa hahahahahha
 
Siku ya Leo ulimwengu unasherehekea kutokuvaa Bra/Sidiria. Lengo ni kuhamasisha Kujikinga na Cancer ya Maziwa/Matiti.

Mkumbushe Mkeo/Demu/Mchepuko wako kusherehekea siku hii kwa kutokuvaa Bra/Sidiria.

October 13 is National No Bra Day, also known as: “the moment we get home from work“ day. Today is not just about comfort, though. National No Bra Day, which falls right in the middle of Breast Cancer Awareness Month, is a time for women (and men!) to learn about breast health.13 Oct 2020.

View attachment 1972729

View attachment 1972730
Sasa wanyakyusa inakuwaje!
 
Hizo nyonyo zina kazi nyingi sana yan nkiziona had nataman niwe hapo kwa fasi ya pemben
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom