Leo ni siku ya kupiga vita adhabu ya KIFO


B

Bajabiri

JF-Expert Member
Joined
Jan 1, 2011
Messages
9,752
Likes
41
Points
0
B

Bajabiri

JF-Expert Member
Joined Jan 1, 2011
9,752 41 0
Kuna baadhi ya wadau hasa watu wa haki za binadamu kama vile LHRC wao wanasema hukumu ya KIFO haina nafasi kwa jamii ya sasa,,,,kwa sababu haizingatii utu wa binadamu,lakin pamoja na hayo kuna baadhi ya wadau wanasema hapana,hukumu au adhabu ya kifo inapaswa kuwa palepale hasa wale wa taasisi za kidini hususan dini ya kiislam,,,,,ikithibitika umeua basi itabidi uuawe maana kutoa roho ni jukumu la ALLAH,je wadau mnaonaje kuhusu hili????maana kwa tanzania watu weeengi wamehukumiwa kifo lakini hawajanyongwa,,,,hii nayo ni adhabu maana huwa wana'athirika kisaikolojia
NAWASILISHA
 

Forum statistics

Threads 1,237,008
Members 475,398
Posts 29,275,642