leo ni siku ya J1-1 nimerudi na dawa ya @asprin

We mwache tu, nami mbegu zangu zinaibuka na vitoto vichangamfu kama hivi.....

Alaji.JPG

Haka ka katikati sio Youngmaster kweli,eti cacico embu tujuze tafazali.
 
Last edited by a moderator:
yaaani haya ndio masharti na maashahidi sitaki kabisaa ila tu huyu Asprin ayakubali manake Young_Master kamuweza kweli safarii hii hana hamu. mkuyati hauna dili hii ndio yanyewe
basi mpambano uwepo tu hapa live, ili mod wa chit chat Erickb52 aweze kukagua kama mpambano unakwenda sawa! naogopa tego lisijepitiliza ikanasa kama ya waleeeeeee wa keiiiii! lolest!
 
Last edited by a moderator:
Asprin huwa anazembea kwako tu! akikutana na vitu vyake vyenye chata ya ODM mambo huwa tofauti kabisa na mtazamo wako Kongosho! huwa anasema LIWALO NA LIWE! Yaani anacheza pande zote, nimeamini mixer ya mkuyati, konyagi na ngisi ni noumerrrrrrr! lolest

Baeleze baeleze bana..... ukaguzi wangu unaambatana na mazoezi makali.
attachment.php


Afu baada ya ukaguzi nikimwambia mtu aondoke ukaguzi umeisha huwa haamini, anataka akaguliwe tu..

DSC00055.JPG


hajui kuna wenzake wako kwenye foleni wanasubiri ukaguzi jamani jamani jamani

DSC09847.JPG


Na wengine wakiona wanachelewa kukaguliwa wanaamua wajikague wenyewe kama Yummy na charminglady walivyokuwa wanajikagua ...

DSC09920.JPG
 
Last edited by a moderator:
Baeleze baeleze bana..... ukaguzi wangu unaambatana na mazoezi makali.

aminia, aminia babu Asprin! endelea kuwakagua wakiendelea kuaply form za ukaguzi!
 
Last edited by a moderator:
ukiona hivyo basi huyo cacico mvivu lolest! network ya kibabu unaipata kwa manati bado hajakwamba mara nina kisukari mana nina presha . kimoja kwake ni ishu kama jogoo tu hawana lolote............hapa ishu ni kijana mujarabbb kama Kaizer wangu game inakuwa ya uhakika aisee usimpiie hata kidaogo best
Huko kwenu kote naona alikuwa hajafika gfsonwin! jamani niacheni niuelezee ulimwengu kuwa vibabu vingine ni noumer! no boost, no nini! kitu imara ni mninga wenyewe! sema alikuna na kinu cha chuma! uliza sasa huo mtwango wake! chezeiya babu Asprin weye?? ngoja akakukague na wewe, utajasema hapa!
 
Last edited by a moderator:
Umeona eh? Unakumbuka siku nilipokukagua? Hebu waeleze utamu ulioupata.... Ukaguzi wangu hauumzi waambie. Hebu angalia ukaguzi wa Erickb52..... kweli wajukuu si lazima wamkimbe?

we Asprin hizi picha unazitoaga wapi? umenifanya nicheke kwa sauti job mwenzio kha! kweli ukaguzi wa vibabu noumerrrrr! mpaka torch kha!
 
Last edited by a moderator:
Huko kwenu kote naona alikuwa hajafika gfsonwin! jamani niacheni niuelezee ulimwengu kuwa vibabu vingine ni noumer! no boost, no nini! kitu imara ni mninga wenyewe! sema alikuna na kinu cha chuma! uliza sasa huo mtwango wake! chezeiya babu Asprin weye?? ngoja akakukague na wewe, utajasema hapa!
Hahahaha.....

"the problem is not you! the problem is her understading you!"

Utakija lini tena nikufundishe kuogelea?

attachment.php
 
cacico baeleze hawa, wananiona kipolepole aisee!.....but huyu nakwenda mtibia tu so sitaki kumpa utamu, utamu namwachia Kaizer wangu. manake hata kwenye mpira wachezaji wote wanatumia miguu kucheza but mikono pekee iko served for goalkeeper tu. so na kwangu utamu uko served for Kaizer maswtlo!
mpe rahaze Kaizer wako mwaya! mi Young_Master anajua mwenyewe utamu wake ulipo, ndio maana yupo kimyaaaaaa anakula chabo tu! ila vibabu bwana, unaweza ukadhani umeua, utasikia KIMYAAAAA, Kumbe kanasikilizia ladha kha! JAMANI VIBABU MUWE MNAHEMA MUDA WOTE, MNATUOGOPESHA EBO!
 
Last edited by a moderator:
Back
Top Bottom