leo ni siku ya J1-1 nimerudi na dawa ya @asprin

gfsonwin

JF-Expert Member
Apr 12, 2012
18,274
20,673
wapenzi wa chit chat leo ndio miye kungwi wenu nimerudi na dawa ya kumtibia Asprin baada ya kukutwa na dhahama ya kukojoa dagaa baada ya kutoka na cacico na tego hili aliwekewa na Young_Master.

kwa masharti ya dawa yenyewe yanipasa kumwomba ruhusa wa moyo wangu Kaizer ili nikawe tabibu kwa Asprin na kwakua hawez kabisa kutembea basi nitamfuata nyumbani kwake barabara ya 12.

masharti ya dawa
1) itabidi niipake kwenye utupu wangu kisha wewe uichukue humo kwa kutumia mshedede.
2)kama ukiweza kunipandisha mizuka basi itabidi unipe dozi na iwe intensive dozi worth fulfilling
3) Kaizer atakuwepo ili kama ukishindwa kazi amalizie
4)unaruhusiwa kumleta moja ya vimada wako awe Yummy ama Badili taba lakini siyo cacico.
kama umekubaliana na masharti haya please sign hii fomu hapa chini

mimi..............................nakubaliana na na masharti haya kutoka kwa tabibu wa tego nililopata.
sahihi............................tarehe............................
 
Last edited by a moderator:
mimi.........Asprin a.k.a ODM babu wa ukaguzi...............nakubaliana na na masharti haya kutoka kwa tabibu wa tego nililopata.
sahihi.......&@^%%............tarehe.....28/06/2012.......................

Deal Signed.

Hommie Kaizer popote pale ulipo tafazali usikose. BADILI TABIA, Yummy na cacico nawaombeni radhi, sina budi kupata hii tiba muafaka. Tafazali Kongosho asipewe hii habari.
 
Last edited by a moderator:
Hahahaaaaaaaaa.....
Hayo masharti kiboko
wewe weka wazi kuwa Umamhitaji babu....
wala si dawa hiyo.........
Kua straight tu..........
But you have made my day dada yangu a moyoni.
Inaelekea unajua kusoma katikati ya mistari. Usijali, akishindwa kunitibia ntahitaji tiba yako.
 
masharti ya dawa
1) itabidi niipake kwenye utupu wangu kisha wewe uichukue humo kwa kutumia mshedede.
2)kama ukiweza kunipandisha mizuka basi itabidi unipe dozi na iwe intensive dozi worth fulfilling
3) Kaizer atakuwepo ili kama ukishindwa kazi amalizie
4)unaruhusiwa kumleta nyumba kubwa yako Yummy na sio VIMADA wako BADILI TABIA wala cacico.
kama umekubaliana na masharti haya please sign hii fomu hapa chini

mimi..............................nakubaliana na na masharti haya kutoka kwa tabibu wa tego nililopata.
sahihi............................tarehe............................
gfsonwin nashukuru sana kwa kuntunuku hii stashahada muhimu sana.......nakuombea uweze kulitegua hiloo tego alilowekewa babu yetu Asprin
Na Kaizer asipotosheka kwako mie ntakusaidia haina majortoooo
 
Last edited by a moderator:
gfsonwin naona unataka nikutengeneze wewe, mume wa mtu ni sumu ujueeee nimemruhusu Yummy na cacico tu kunisaidia kazi, angalia nitakuroga sehemu zinazofichwa na nguo nitazihamishia shavuni shauri yako....:mad::mad::mad::A S-eek:
ila mumeo noumer! alinitegua kiuno mtoto wa mwenzie! nashukuru kipindi kile tiba ilikuwa bado ipo mahospitalini, sasa hivi cjui ningefanyaje! babu Asprin pamoja na yote, upo juu! kha!
 
Last edited by a moderator:
ndo maana nimeona bora niongeze ulinzi, nishashtuka si unaona gfsonwin ameanza kumzengea? au tumualike kwenye "foursome?"

ila mumeo noumer! alinitegua kiuno mtoto wa mwenzie! nashukuru kipindi kile tiba ilikuwa bado ipo mahospitalini, sasa hivi cjui ningefanyaje! babu Asprin pamoja na yote, upo juu! kha!
 
Last edited by a moderator:
Hii mechi si ya kukosa kushuhudia, naomba ipelekwe uwanja wa taifa.

Ni mechi kati ya Englan na Spain sijui itakuwaje.

Cheki babu asprin alivyofurahia, kameanza kupasha.

Hommie Kaizer ushakuwa bushoke tena

Deal Signed.

Hommie Kaizer popote pale ulipo tafazali usikose. BADILI TABIA, Yummy na cacico nawaombeni radhi, sina budi kupata hii tiba muafaka. Tafazali Kongosho asipewe hii habari.
 
Last edited by a moderator:
uwiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiii na form ya kujaza kabisa!!! gfsonwin umenichekesha! kha, hutaki mashahidi?? naomba akanywe mkuyati kwanza huyo babu Asprin! kumbe ndio maana simsomi ni madagaa hayo anakojoa?? lolest! pole mwaya, vingine vimesindikwa Asprin haviguswi kha!

yaaani haya ndio masharti na maashahidi sitaki kabisaa ila tu huyu Asprin ayakubali manake Young_Master kamuweza kweli safarii hii hana hamu. mkuyati hauna dili hii ndio yanyewe
 
Last edited by a moderator:
Back
Top Bottom