Leo ni siku ya 3, prepaid Card za Abc hazifanyi kazi

taekwondo

Senior Member
Oct 6, 2016
122
206
Habari za Muda huu wakuu..Leo ni siku ya 3 prepaid Card za Abc hazifanyi kazi,na haijulikani mpka sasa huduma zitarudi lini,kwa sisi watu wa ku run ads ni pigo kubwa..Msaada kwa mbadala wa bank nyingine wasio na longo na online transaction
 
Mpesa Mastercard ni nzuri. Mimi hutumia hiyo kwenye malipo ya ads
 
Back
Top Bottom