Leo ni Siku ya 3 mfululizo nyakati hizi za Usiku hadi Alfajiri nasikia Ving'ora tu katika Hospitali Kuu ya 'Kimedani' Mkoani Dar es Salaam Kulikoni?

chrisbleez

JF-Expert Member
Dec 28, 2016
560
1,000
Ukweli wako Wewe ni upi labda? Sema!!
We jamaa natambua sisi kama binadamu tumetofautiana kimawazo lkn pia tuna uhuru wa kuzungumza sasa hoja yangu ni kwamba mwaka jana wakati tetesi za corona zikizagaa huku mtaani pamoja na mitandaoni yalizuka maneno na hofu kama hivi sasa kwa yanayoendelea lkn kwa ushupavu wa yule hayati aligundua hapa kuna kitu kama kiharufu cha biashara hivi au upigaji (HAKUNA CHA LOCKDOWN WALA BIBI YAKE NA LOCKDOWN)Haya yalikuwa ni sehemu ya maneno yake.

Mkuu baada ya hayati kutoa msimamo wake mambo yalikwenda vizuri sana na kama kawaida maisha yaliendelea tofauti na yalivyosemwa na watu pamoja n wazungu kuwa maiti zitazagaa sana mitaani lkn nini kilitokea...hapa nataka niseme kwa pamoja tukijiamini tunaweza na tusikubali kutishwa wala kuyumbishwa na hofu tulizonazo

Maisha ni yale yale kufa tumeubwa viumbe vyake mola sio kila kifo ni corona ifike mahali tuache uwoga na unafki kama tuliweza mwaka jana hatuwezi kushindwa huko mbele tunapokwenda

Ndio kwanza tunaambiwa hiki ni kirusi cha tatu kesho kitakuja cha nne na cha tano na hatujui mwisho vingapi huu ni utumwa na ni biashara za watu tuwe na msimamo kama taifa
 

Maghayo

JF-Expert Member
Oct 5, 2014
7,288
2,000
Na ndiyo Hospitali hiyo hiyo za chini ya Kapeti nimezinyaka kuwa Bi Mkubwa Kikatiba Kesho anaenda Kuzindua Jengo lililojengwa na Wajerumani na ikiwezekana hata Sindano yake ya UVIKO 19 anaweza 'akachomewa' hapo hapo japo Askofu Gwajima Yeye kaigomea.

Mungu atusaidie sana na hii UVIKO 19.
Midume Mizima mnaigopa uviki-19. Wanaume tumebaki wachache sana!
 

Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom