Leo ni siku ya 3 hakuna mtandao wa voda mkoani tabora.nini tatizo? | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Leo ni siku ya 3 hakuna mtandao wa voda mkoani tabora.nini tatizo?

Discussion in 'Habari na Hoja mchanganyiko' started by Baba Matatizo, Mar 5, 2012.

 1. B

  Baba Matatizo JF-Expert Member

  #1
  Mar 5, 2012
  Joined: May 5, 2011
  Messages: 335
  Likes Received: 6
  Trophy Points: 35
  Jamani juzi nimenunua internet ya voda.wakanipa lakini cha ajabu network imepotea mpaka leo haijarudi.tatizo ni nini?hii ni tabora nzima jamani
   
 2. Mtoboasiri

  Mtoboasiri JF-Expert Member

  #2
  Mar 5, 2012
  Joined: Aug 6, 2009
  Messages: 5,106
  Likes Received: 94
  Trophy Points: 0
  Hivi unaposikia matangazo yao ya biashara unawaamini?
   
 3. Babuu blessed

  Babuu blessed JF-Expert Member

  #3
  Mar 5, 2012
  Joined: Oct 14, 2010
  Messages: 1,340
  Likes Received: 98
  Trophy Points: 145
  hata ifakara nilikuwepo kwa siku tatu ovyo kabisa hadi nilfikiri simu mbovu
   
 4. Gwandalized

  Gwandalized JF-Expert Member

  #4
  Mar 5, 2012
  Joined: Jan 17, 2012
  Messages: 222
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 33
  wamefiwa
   
 5. simplemind

  simplemind JF-Expert Member

  #5
  Mar 5, 2012
  Joined: Apr 10, 2009
  Messages: 11,802
  Likes Received: 2,576
  Trophy Points: 280
  Ship anchor damaged seacom cable off Kenyan coast. Intenet traffic EA region expected to slowdown as result of damage. 5 days ago.
   
 6. N

  Njangula Senior Member

  #6
  Mar 5, 2012
  Joined: Oct 20, 2011
  Messages: 179
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Ok, hata huku Ludewa imekata siku tatu mfululizo na pia inakatakata mara kwa mara.
   
 7. mikatabafeki

  mikatabafeki JF-Expert Member

  #7
  Mar 5, 2012
  Joined: Dec 29, 2010
  Messages: 12,837
  Likes Received: 2,101
  Trophy Points: 280
  nunua nyingine
   
 8. Kennedy

  Kennedy JF-Expert Member

  #8
  Mar 5, 2012
  Joined: Dec 28, 2011
  Messages: 11,270
  Likes Received: 2,947
  Trophy Points: 280
  Karibu maeneo mengi kuna shida,nadhani wanahitaji kuwapatia wateja taarifa.
   
 9. Wingu

  Wingu JF-Expert Member

  #9
  Mar 5, 2012
  Joined: Jan 14, 2011
  Messages: 4,326
  Likes Received: 23
  Trophy Points: 135
  HAMIA AIRTEL mkuu mambo muswano na kabundle ketu wameturudishia
   
Loading...