#COVID19 Leo ni siku ya 23 tangu nipone au kupata nafuu na ugonjwa wa Covid-19

Behaviourist

JF-Expert Member
Apr 8, 2016
35,206
2,000
Wapi nimesema kuwa wewe umesema hivyo? hebu rudia kusoma tena nilichokuuliza.

Kwani Asprin ndio iliyopambana na virusi vya corona au ni kinga zake za mwili?
Msingi wa swali lako ni nini?Yaani kwa nini unaniuliza swali hilo?
 
Njemba Soro.

JF-Expert Member
Oct 5, 2013
1,643
2,000
Huu ugonjwa ni hatari sana. ALITWA JAMAA JANA NIKATOKA WODINI KWENDA MOI DAKIKA 15 TU NAKUTA KAFUNIKWA SHUKA..., huu ugonjwa ni mbaya sana sana. TULIOPO HUKU HOSPITALI TUNAONA.
 
UHURU JR

JF-Expert Member
Jul 24, 2014
12,885
2,000
Msingi wa swali lako ni nini?Yaani kwa nini unaniuliza swali hilo?
"...jua kuwa siku za mbele wanakuja variants nyingine wa Corona ambao itakuwa siyo rahisi kupona kwa kutumia Asprin"

Kwamba hizo variants zengine hata akitumia Asprin haitokuwa rahisi kupona, ndio maana nikakuuliza kwani kilichopambana na hiyo variant hadi akapona ni Asprin au kinga zake za mwili?
 
Behaviourist

JF-Expert Member
Apr 8, 2016
35,206
2,000
"...jua kuwa siku za mbele wanakuja variants nyingine wa Corona ambao itakuwa siyo rahisi kupona kwa kutumia Asprin"

Kwamba hizo variants zengine hata akitumia Asprin haitokuwa rahisi kupona, ndio maana nikakuuliza kwani kilichopambana na hiyo variant hadi akapona ni Asprin au kinga zake za mwili?
Asprin zina uwezo wa kustimulate kinga ya mwili na kukusababishia kupona baadhi ya maradhi.Kama utakumbuka kuna wakati Trump alikuwa anapigia debe dawa fulani kama hii asprin kuwa inaponyesha Corona.

Dawa aliyokuwa anaipigia debe Trump kuwa inaponyesha Corona ni kwamba ilikuwa inastimulate kinga ya mwili na kuiongezea uwezo wa kupambana na Corona lakin FDA waliikataa kwa sababu ilikuwa haina uwezo wa kuinua kinga ya mwili vya kutosha.

Hoja yangu ni kwamba wale variant wengine kama vile akina Lambda wana nguvu sana kwa hiyo mwili unahitaji kuwa na kinga kubwa ili kupambana nao.

Kumbuka hizi dawa nyingine hizi kama akina Asprin na kadhalika hazina uwezo wa kustimulate kinga ya mwili kwa kiasi kikubwa kama ilivyo chanjo ndiyo maana nikasema kuwa Asprin haiwezi kufua dafu kwa akina Lambda kwa sababu Asprin haina nguvu kubwa katika kustimulate kinga ya mwili kama walivyo akina Chanjo.
 
Sasa unakubali kuwa asprin inasaidia kwenye corona kama ambavyo jamaa ametoa ushuhuda au unakataa kama FDA? hilo suala Delta na Lamba hata hizo chanjo zinahitaji booster ili ndio ziweze kupambana na hizo variants.
 
Behaviourist

JF-Expert Member
Apr 8, 2016
35,206
2,000
Sasa unakubali kuwa asprin inasaidia kwenye corona kama ambavyo jamaa ametoa ushuhuda au unakataa kama FDA? hilo suala Delta na Lamba hata hizo chanjo zinahitaji booster ili ndio ziweze kupambana na hizo variants.
Asprin ni kweli inasaidia lakini msaada wake ni mdogo sana.Haina uwezo wa kutosha wa kustimulate kinga ya mwili ya kutosha ya kupambana na Corona na hili hata hao watumia Asprin wanalijua pia ndiyo maana hawatumii Asprin peke yake bali wanachanganya na madawa mengine.
 
UHURU JR

JF-Expert Member
Jul 24, 2014
12,885
2,000
Asprin ni kweli inasaidia lakini msaada wake ni mdogo sana.Haina uwezo wa kutosha wa kustimulate kinga ya mwili ya kutosha ya kupambana na Corona na hili hata hao watumia Asprin wanalijua pia ndiyo maana hawatumii Asprin peke yake bali wanachanganya na madawa mengine.
Sasa hapo ni tatizo lako wewe maana mleta mada kataja vilizomsaidia ikiwepo hadi zinc ila wewe ukaishia kutaja asprin tu. Kwa kifupi jamaa kapona corona kwa kutumia madawa aliyoyaeleza kama ambavyo wengine wengi walivyopona, sasa issue ya hizo variants zengine hata hizo chanjo zinahitaji kuboostiwa pia hivyo hizi J&J zetu inabidi tupate booster.
 
Behaviourist

JF-Expert Member
Apr 8, 2016
35,206
2,000
Sasa hapo ni tatizo lako wewe maana mleta mada kataja vilizomsaidia ikiwepo hadi zinc ila wewe ukaishia kutaja asprin tu. Kwa kifupi jamaa kapona corona kwa kutumia madawa aliyoyaeleza kama ambavyo wengine wengi walivyopona, sasa issue ya hizo variants zengine hata hizo chanjo zinahitaji kuboostiwa pia hivyo hizi J&J zetu inabidi tupate booster.
Sasa umejuaje kuwa jamaa kapona Corona kwa sababu ya dawa alizotumia na wala siyo kwa sababu nyingine yoyote ile kama vile kinga yake ya mwili peke yake?Kumbuka kuna watu wanaugua Corona na wanapona bila ya kutumia dawa yoyote ile na wapo wengi sana.

Sasa wewe umejuaje kuwa jamaa amepona kwa sababu ya dawa aliyotumia?Labda angepona hata kama asingetumia hizo dawa kama walivyopona watu wengine bila ya kutumia dawa yoyote ile.Ni kigezo gani umetumia ukajua kuwa amepona kwa sababu ya dawa alizotumia na wala siyo kwa sababu nyingine?
 
mzushi

JF-Expert Member
Mar 9, 2012
3,094
2,000
Hivi Kama mtu kaisha ugua corona na akapona, Kuna haja gani ya yeye kuchoma chanjo?!!!

Hili ndo nimeliona kwenye mada yako, mengine naomba unisamehe.
Mama Mwingira alipigwa na wimbi la pili ilipokuja delta wimbi la tatu likammalizia.Akili kichwani mwako pata chanjo au endelea kumsikiliza Gwajima
 
UHURU JR

JF-Expert Member
Jul 24, 2014
12,885
2,000
Sasa umejuaje kuwa jamaa kapona Corona kwa sababu ya dawa alizotumia na wala siyo kwa sababu nyingine yoyote ile kama vile kinga yake ya mwili peke yake?Kumbuka kuna watu wanaugua Corona na wanapona bila ya kutumia dawa yoyote ile na wapo wengi sana.

Sasa wewe umejuaje kuwa jamaa amepona kwa sababu ya dawa aliyotumia?Labda angepona hata kama asingetumia hizo dawa kama walivyopona watu wengine bila ya kutumia dawa yoyote ile.Ni kigezo gani umetumia ukajua kuwa amepona kwa sababu ya dawa alizotumia na wala siyo kwa sababu nyingine?
Hilo mimi siwezi kujua,muhimu ni kwamba hata wewe mwenyewe umekubali kuwa asprin inasaidia kwenye corona na hilo ndio muhimu hapa, sasa yeye jamaa kama asprin haikufanya kazi bali ni kinga zake tu za mwili hilo mimi nitawezaje kujua? muhimu ni hizo dawa alizotaja.
 
Mr Q

JF-Expert Member
Aug 16, 2012
11,002
2,000
Asprin zina uwezo wa kustimulate kinga ya mwili na kukusababishia kupona baadhi ya maradhi.Kama utakumbuka kuna wakati Trump alikuwa anapigia debe dawa fulani kama hii asprin kuwa inaponyesha Corona.

Dawa aliyokuwa anaipigia debe Trump kuwa inaponyesha Corona ni kwamba ilikuwa inastimulate kinga ya mwili na kuiongezea uwezo wa kupambana na Corona lakin FDA waliikataa kwa sababu ilikuwa haina uwezo wa kuinua kinga ya mwili vya kutosha.

Hoja yangu ni kwamba wale variant wengine kama vile akina Lambda wana nguvu sana kwa hiyo mwili unahitaji kuwa na kinga kubwa ili kupambana nao.

Kumbuka hizi dawa nyingine hizi kama akina Asprin na kadhalika hazina uwezo wa kustimulate kinga ya mwili kwa kiasi kikubwa kama ilivyo chanjo ndiyo maana nikasema kuwa Asprin haiwezi kufua dafu kwa akina Lambda kwa sababu Asprin haina nguvu kubwa katika kustimulate kinga ya mwili kama walivyo akina Chanjo.
Kinga za mwili zimgekuwa zinasisimuliwa kiasi tunacho mezeshwa virusi wa ukimwi wangekuwa taabani kwa sasa.
 
Behaviourist

JF-Expert Member
Apr 8, 2016
35,206
2,000
Hilo mimi siwezi kujua,muhimu ni kwamba hata wewe mwenyewe umekubali kuwa asprin inasaidia kwenye corona na hilo ndio muhimu hapa, sasa yeye jamaa kama asprin haikufanya kazi bali ni kinga zake tu za mwili hilo mimi nitawezaje kujua? muhimu ni hizo dawa alizotaja.
Mimi hoja yangu siyo wewe kujua kuwa Asprin imemponyesha au la.

Hoja yangu ni kwamba hupaswi kufikia muafaka kuwa amepona kutokana na dawa alizotumia kama ulivyodai hapa kwa sababu hakuna controlled experiment ambayo umefanya ukajua ni dawa alizotumia ndizo zimemponyesha na wala siyo vigezo vingine vyovyote vile.

Halafu suala kwamba kwa sababu mimi nimedai kuwa Asprin inaponyesha basi atakuwa amepona kutokana na kutumia Asprin siyo sahihi kwa sababu mimi siyo mamlaka za dawa zinazoaminika.Kwani mimi ni WHO hadi nilichoongea kiwe kipo sahihi?Kwani mimi ni FDA?Kwani mimi ni NIMRI?

Halafu sikusema kuwa Asprin ni dawa ya kutibu Corona bali nimesema kuwa ina uwezo mdogo sana kustimulate kinga ya mwili dhidi ya Corona na ndiyo maana hata mamlaka za dawa za kuaminika kama vile FDA walikataa dawa kama hiyo.

Sasa dawa ambayo haina kibali chochote kile cha kutibu Corona kutoka mamlaka ya kuaminika yoyote ile ya madawa nije kuipitisha mimi?Mimi ni nani hadi niipitishe dawa hiyo kuwa inatibu Corona?Unanisikiliza mimi au unasikiliza mamlaka za madawa za kuaminika?
 
Behaviourist

JF-Expert Member
Apr 8, 2016
35,206
2,000
Kinga za mwili zimgekuwa zinasisimuliwa kiasi tunacho mezeshwa virusi wa ukimwi wangekuwa taabani kwa sasa.
Uwezo wa virusi kupambana na kinga za mwili unatofautiana kutoka kirusi kimoja hadi kingine.Uwezo wa kirusi cha ukimwi kupambana na kinga ya mwili na kushinda pambano ni tofauti na uwezo wa kirusi cha Corona na virusi vingine.

Kinga ambayo mwili unahitaji ili kupambana na kirusi cha Corona ni tofauti kabisa na kinga ambayo mwili unahitaji ili kupambana na kirusi cha ukimwi.

Kwa hiyo kuna virusi ambavyo kinga ya mwili ikiamshwa tu kidogo hao virusi wanapotea lakini kuna virusi kama wa ukimwi wana nguvu zaidi dhidi ya kinga zetu na wanahitaji utaalam zaidi katika kupambana nao.
 
UHURU JR

JF-Expert Member
Jul 24, 2014
12,885
2,000
Mimi hoja yangu siyo wewe kujua kuwa Asprin imemponyesha au la.

Hoja yangu ni kwamba hupaswi kufikia muafaka kuwa amepona kutokana na dawa alizotumia kama ulivyodai hapa kwa sababu hakuna controlled experiment ambayo umefanya ukajua ni dawa alizotumia ndizo zimemponyesha na wala siyo vigezo vingine vyovyote vile.

Halafu suala kwamba kwa sababu mimi nimedai kuwa Asprin inaponyesha basi atakuwa amepona kutokana na kutumia Asprin siyo sahihi kwa sababu mimi siyo mamlaka za dawa zinazoaminika.Kwani mimi ni WHO hadi nilichoongea kiwe kipo sahihi?Kwani mimi ni FDA?Kwani mimi ni NIMRI?

Halafu sikusema kuwa Asprin ni dawa ya kutibu Corona bali nimesema kuwa ina uwezo mdogo sana kustimulate kinga ya mwili dhidi ya Corona na ndiyo maana hata mamlaka za dawa za kuaminika kama vile FDA walikataa dawa kama hiyo.

Sasa dawa ambayo haina kibali chochote kile cha kutibu Corona kutoka mamlaka ya kuaminika yoyote ile ya madawa nije kuipitisha mimi?Mimi ni nani hadi niipitishe dawa hiyo kuwa inatibu Corona?Unanisikiliza mimi au unasikiliza mamlaka za madawa za kuaminika?
Unajua ni wewe ndio uliyoanza kusema kwamba kwa hizo variants zengine ni ngumu kupona kwa kutumia Asprin na ndipo nikakuuliza kwamba asprin ndio iliyopambana na virusi vya corona au kinga zake za mwili? ukanijibu kuwa asprin inasaidia kustimulate kinga za mwili. Hivyo mimi nimehukua kama ilivyo hakuna niliposema asprin ni dawa ya corona wala sijasema kuwa wewe umesema hivyo.

Sasa labda ubadili na kusema kwamba asprin haina msaada wowote kwa mgonjwa wa corona tofauti na mwanzo ulivyosema inasaidia kustimulate kinga za mwili.
 
Mimi sina cha kubadili kwa sababu nilichosema hakina utata wowote wala hakijapingana na mamlaka za madawa kwa sababu nimesema kuwa Asprin ina uwezo mdogo sana wa kustimulate kinga ya mwili dhidi ya Corona na ndiyo Maana mamlaka za kuaminika za madawa ya binadamu kama vile FDA walikataa kupitisha dawa kama hizi kuwa zinatibu Corona wakati wa Trump.Hapa kuna utata wowote?

Kosa lako la kuhitimisha kuwa huyo jamaa amepona kutokana na dawa alizotumia umeshalitambua?
 
Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom