Leo ni maadhimisho ya siku ya watu wanaoandika kwa kutumia mkono wa kushoto!

Sajenti

JF-Expert Member
Apr 24, 2008
3,651
412
Tarehe 13 Agosti ni maadhimisho ya siku ya watu wanaondika kwa kutumia mkono wa kushoto (left handed). Siku hiyo ilianza kuadhimishwa miaka 35 iliyopita. Mwanzo wa siku hiyo ni unyanyapaa uliowakumba hawa wanaandika na kufanya kazi zao kwa kutumia mkono wa kushoto. Kuna watu maarufu duniani wanaotumia mkono wa kushoto kuandika kama vile Bill Clinton, Barack Obama, George Bush, snr na wengine wengi. My take: wazazi wenye watoto wanaondikia mkono wa kushoto msiwanyanyapae sio laana, au vinginevyo wengi wao huwa very bright! Source: BBC

Am nt naturally left handed...bt i write wit it as perfect as wit a ryt hand...i learnt 2 do that a yr ago...do i qualify 2 celebrate 2??

Ni kweli kabisa. nakumbuka nilivyopata tabu pale kisutu secondary wakati wa somo la needle works. cherehani ilikua ya mkono halafu handle iko mkono wa kulia, halafu mwalimu hakuelewi. kwa kweli sitasahau.

you have to be natural cause kila kitu unakua unafanya ki left. kama vile kula, kufua, kubeba vitu nk.

Ni kweli kabisa. nakumbuka nilivyopata tabu pale kisutu secondary wakati wa somo la needle works. cherehani ilikua ya mkono halafu handle iko mkono wa kulia, halafu mwalimu hakuelewi. kwa kweli sitasahau.

...Ni kwli hili tatizo lipo kuna baadhi ya wazazi au walezi wadhani mtoto akiwa left handed ni dosari. Mi nakumbuka nilipoanza std I nilikuwa natumia left kua ndika shangazi yangu niliyekuwa naishi nae alinikataza akidhani nafanya makusudi alipoonasibadiriki kilifata kichapo . Lakini ni uelewa finyu wa wale wazee. My daughter she's left handed kuandika and everything yuko vizuri sana class kwao.

Aah kumbe leo siku yangu+ ngoja nitafute mahali wanapika kiti moto safi nijipongeze

Mhhh wabaguzi na left legged inakuwaje?, maana mi naandikia kulia lkn nachezea kushoto je ni extra ord.

Am nt naturally left handed...bt i write wit it as perfect as wit a ryt hand...i learnt 2 do that a yr ago...do i qualify 2 celebrate 2??

hapana waachie wenzako waliozaliwa hivyo.

oo my baby SHAZMA umebarikiwa sn kuandika na mkono wa kushoto km clinton, bush,obana naimani miaka ijayo utakua amiri jeshi mkuu wa TZ, may the LOARD BLESS YOU MY BABY

oo my baby SHAZMA umebarikiwa sn kuandika na mkono wa kushoto km clinton, bush,obana naimani miaka ijayo utakua amiri jeshi mkuu wa TZ, may the LOARD BLESS YOU MAY BABY

...haaaaah haaaaah haaaaaah...i like this ma shazma!

Back
Top Bottom