Leo ni kumbukumbu ya kifo cha Nyerere au Magufuli?

Wami Dakawa ni site ya mpendwa Sokoine, ikitokea kumbukizi ya Mwalimu, Wiki ya Vijana na kuzimwa Mwenge wa Uhuru ukifanyika Moro, je, viongozi wakienda pale kabla ya kuelekea ktk tukio la kumbukizi ya Mwalimu, ni kosa?
... mtafanyia wangapi sherehe mzee? Siku yaja watafikia viongozi wastaafu marehemu 15, 20, 100, n.k. Tuheshimu taratibu, Nyerere Day na Karume Day ni kwa ajili ya waasisi wa taifa hili na sio vinginevyo; hao wengine wataendelea kuheshimiwa kama waliowahi kuwa viongozi wa taifa hili na sio vinginevyo! Bila kuheshimu taratibu ni fujo.
 
Kwanza viongozi wetu hawastahili kabisa kusema wanamuenzi Mwalimu Nyerere kwa sababu zifuatazo;
  1. Nyerere hakuwa muongo
  2. Nyerere hakuwa mnafiki
  3. Nyerere 'hakubambikia' watu kesi
  4. Nyerere hakuwahi kuwa 'katili" kwa anaowaongoza
  5. Nyerere hakuwahi kudhihaki au kudharau anaowaongoza.
 
chadema wao kukosoa kila kitu hakujawahi kuwaisha, ndio maana wahuni wa kwenye chama wanawatumia hawa vijana kama ngazi ya kupata mafanikio yao, wao wakiendelea kubaki kupiga kelele
 
Hakika wakikujibu nistue , Hangaya badala ya kwenda kufagia kaburi la Nyerere anahangaika na mwendazake asiyehusika
Bora wangezima Mwenge kisha siku inayofuata ndiyo waende kutembelea kaburi la Magufuli. Lakini kutembelea kaburi la Nagufuli siku ya kumbu kumbu ya kifo cha Nyerere ni miscalculation. BAVICHA wameonesha mfano.
FB_IMG_16342749266344239.jpeg
 
siku ya pasaka hua unaenda kwenye kaburi la yesu?

nijuavyo, nyerere day hua tunasherehekea maisha ya nyerere so inaweza kua popote.
kwa hiyo kwenda kuweka mashada kaburini kwa Magu ilikuwa ni process ya kumuenzi mwalimu pia.
 
Hebu acha kulinganisha mtu wa maana kuwahi kutokea nchi hii, na viumbe wa ajabu ajabu hao!!MUNGU FUNDI
tatizo unaugomvi na akili yako(personal confrict).nikusaidie ukitaka kujua ,pima kazi alizoziqnzisha na alipoziacha na muda aliotumia .jk alifanya!??,mwinyi alifanya!!??,mkapa alifanya!!??,siwabezi watanguliz wake lkn jpm alikuwa extra talented & committed!!
 
tatizo unaugomvi na akili yako(personal confrict).nikusaidie ukitaka kujua ,pima kazi alizoziqnzisha na alipoziacha na muda aliotumia .jk alifanya!??,mwinyi alifanya!!??,mkapa alifanya!!??,siwabezi watanguliz wake lkn jpm alikuwa extra talented & committed!!
Labda mateso kwa wananchi wengi!!kila siku nasema Mungu ni mwema!!najua sukuma gang, tabu mnayopata na bado mtatabika sana!mtu aliyeligawa taifa, kufunga watu bila makosa, kujifanya mungu mtu, uje kumlinganisha na NYERERE?!!
 
Back
Top Bottom