Leo ni jumapili

kitalolo

JF-Expert Member
Dec 4, 2006
1,827
707
Wangapi mmekumbukakufanya hii kitu?

Maombi.jpeg
 
wewe unafanya hivyo jumapili tu!!!

no mkuu zamani nilikuwa nafanya kila siku ila tangu niachane na hiyo kitu na sheria za kanisa nililokuwa naenda wanasema walau mara moja kwa mwaka ila just kukumbushana mzee walau jumapili
 
no mkuu zamani nilikuwa nafanya kila siku ila tangu niachane na hiyo kitu na sheria za kanisa nililokuwa naenda wanasema walau mara moja kwa mwaka ila just kukumbushana mzee walau jumapili
ha ha ha ha ha ha ha!!mara moja kwa mwaka!!!!!!
 
ha ha ha ha ha ha ha!!mara moja kwa mwaka!!!!!!

yah mkuu kakanisa ya zamani yalikuwa ni kwaaajili ya kumsaidia mwanadamu aweze kumtambua muumba wake kutumikia na mwisho kumwezesha kukutana na muumba wake siku za mwisho yaani muumini ndio anapaswa kulitafuta kanisa ila makanisa ya siku hizi yanawatafuta waumini unajua ni kwanini?
Je kama unabiashara yako na ukaiweka ndani nani atainunua (maana yake ni kwamba makanisa ya sikuhizi yako kisadaka zaidi kwamba unamtambua muumba wako na kumtumikia sio muhimu)
 
0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom