Rwanda tunakula pilau leo karibu.Acha kupotosha wapi mwezi umeonekana hapa TANZANIA? Kenya wao EID ni leo? Somalia, COMMORO nk acha unafiki. DINI YETU HAITAKI UNAFIKI.
FUNGENI AU FUNGULIENI KWA KUONA MWEZI.
Sio kosa lao bali la mweziHuu ni upekee mwingine wa Taifa letu katika kuendesha Mambo.Leo Waisalam Dunia nzima wanasherehekea kummalizika kwa Ramadan!
Lakini hapa Tanzania mwezi haukuandama hivyo Idd ni kesho!
Idd Mubaraka!
leo aibu utatoka mwezi kama jua na utaonekana masaa, mwezi wa siku ya kwanza muda mchache tu ile juaaaaKama nauona vile jioni leo ukiwa umekomaa kabisa unaonekana wa siku 2 hivi....tusubiriii
watanzania hawaabudu waarabu hawaangalii mwezi wa mwarabu uarabuni wanaangalia mwezi unaoandama Tanzania sio uarabuniHuu ni upekee mwingine wa Taifa letu katika kuendesha Mambo.Leo Waisalam Dunia nzima wanasherehekea kummalizika kwa Ramadan!
Lakini hapa Tanzania mwezi haukuandama hivyo Idd ni kesho!
Idd Mubaraka!
Ndicho kitakachotokea.Kama nauona vile jioni leo ukiwa umekomaa kabisa unaonekana wa siku 2 hivi....tusubiriii
Unafiki gani mkuu....Uganda,Kenya ,Rwanda mwezi umeandama lakini kwetu bado...!Acha kupotosha wapi mwezi umeonekana hapa TANZANIA? Kenya wao EID ni leo? Somalia, COMMORO nk acha unafiki. DINI YETU HAITAKI UNAFIKI.
FUNGENI AU FUNGULIENI KWA KUONA MWEZI.
Na Kenya,Rwanda na Uganda je!watanzania hawaabudu waarabu hawaangalii mwezi wa mwarabu uarabuni wanaangalia mwezi unaoandama Tanzania sio uarabuni