hopaje
JF-Expert Member
- Jan 11, 2013
- 1,726
- 1,218
Mbunge wa mbeya mjini leo kafunga ndoa kanisa katoliki rwanda mbeya mjiniView attachment 1194164 View attachment 1194166
huyo binti ana mtoto dizaini ni wiki chache zilizopita.Mbona mke tumbo linaonesha kama vile jamaa ameshatesti mitambo?
Mara happy hii ndoa ya pili, ya kwanza chali.Wenye account zao IG, watasikia mengi kutoka kwa yule aliyesema alifundishwa kuvuta bangi na Sugu.
CheckWenye account zao IG, watasikia mengi kutoka kwa yule aliyesema alifundishwa kuvuta bangi na Sugu.
Mara happy hii ndoa ya pili, ya kwanza chali.