Leo ni Eid tabia njema tulizoziona kipindi cha mfungo ziendelee

EINSTEIN112

JF-Expert Member
Oct 26, 2018
21,713
35,524
Eid Mubarak.
Nichukue fursa hii kuwanasihi waislam kuwa zile tabia njema na mavazi ya staha mliyoyaonesha wakati wa kipindi cha mfungo wa mwezi mtukufu wa Ranadhani zisiishie leo bali ziwe sehemu ya utamaduni wenu.

Sio muanze kujaza gest, na kuvaa mavazi ya uchi kisa mwezi umeisha, mkifanya hivyo mtakuwa mnajifanyia unafki nafsi zenu.

Msikaribie kabisa yale mabucha yetu

Sherehe njema
 
tunawatakia ndugu zetu kila la heri, nakubaliana na mtoa mada kuwa ni kweli ni vyema ndugu zetu wakayaishi mafunzo mazuri waliyo yapata ndani ya mwezi mtukufu.
ni jambo la aibu mbele za Mungu tukiwaona wanafanya maovu kwa bidii mara baada ya mfungo
 
Tumekusikia.

Na mimi nichukue fursa hii kuwanasihi msiokuwa waislam kuwa muwe na tabia njema na mvae mavazi ya staha, na hii iwe ni sehemu ya utamaduni wenu.

Sio muwe mnajaza magest, na kuvaa mavazi ya uchi kila wakati, kufanya hivi mnakosea sana.
 
watu wale mbususu leo
Screenshot_20220503-140149.jpg
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom