Leo ndo imefunguliwa rasmi

Bishweko

JF-Expert Member
Sep 29, 2011
3,281
2,423
Kijana mmoja hapa kijijini ameweza kufungua rasmi mtandao (NETWORK) wake wa simu ambao unaweza kutumiwa kata nzima.Hakuna cha vocha wala nini ..jamaa anatumia dish la DSTV hii kali .Je serikali haitamkataza hii huduma.?
 
  • Thanks
Reactions: cpt
Tumpe muda Bishweko huenda network yao mpya imekorofisha atakuja kudadavua zaidi Lol!
 
Last edited by a moderator:
Kijana mmoja hapa kijijini ameweza kufungua rasmi mtandao (NETWORK) wake wa simu ambao unaweza kutumiwa kata nzima.Hakuna cha vocha wala nini ..jamaa anatumia dish la DSTV hii kali .Je serikali haitamkataza hii huduma.?

huyu kijana anataka kuhatarisha usalama wa nchi kataza kabisa hii ujuzi hapa tz bongo..
 
haiwezekani. simcard katengenezea wapi na kuna mwingiliano gani na mitandao mingine?
 
haitakaa hewani kwa muda mrefu,ni mwingiliano wa mawasiliano tu,kuna kipindi huko nyuma kwenye radio tulikuwa tunasikia sauti za watu wakiwasiliana kwa simu.
 
huyu kijana anataka kuhatarisha usalama wa nchi kataza kabisa hii ujuzi hapa tz bongo..

mawazo km haya ndiyo yalidumaza vipaji vya Watanzania wengi,badala ya kushauri kijana huyu aendelezwe na kipaji chake kwa kuufata sheria za nchi we unaonelea ni bora kipaji hiki kipigwe kufuli!!!!!!!......
 
Back
Top Bottom