Leo ndio nimeweza kupost topic baada ya JF kubadilisha muundo

Mambo ya sikukuu hayo kiongozi,hasa zikiwa zimefuatana. Kuna wengine wana wiki sasa hata kuona hawawezi...
 
Duuh! nadhani wengi bado hawajaweka thread baada ya maboresho.Ugeni wa njia wakati wa kwenda tuu lakini kurudi hupotei.
 
Kuna jamaa zangu huwa na viherehere vya kuchangia au kuanzisha mada lakini hadi leo kimya naamini ni huu muonekano mpya ndio unawapa shida.
 
Mkuu naona umeongeza likes kutoka kwa Chief MM acha nami nikupe yangu ya nadharia chukua like hiyo mkuu.
 
Duuh! nadhani wengi bado hawajaweka thread baada ya maboresho.Ugeni wa njia wakati wa kwenda tuu lakini kurudi hupotei.
Jf hii inaleta karaha sana, wakati mwingine unajiunga ukija kurudi unakuta ishakata unaambiwa anza upya. Unaweza kulog in masaa hata 3 bado inasumbua tu mpaka mtu unaamua kuachana nayo tu na hii iko acute kwa mobile users sana. Ni kama kuna kamkakati ka kupunguza members hapa jf kwa siri make ni too much, it needs changes imminently.
 
Nifundisheni namna ya kuanzisha thread kwenye jf
ahahahah safi sana kuna watu walikuwa wanalala JF sasa siwaoni,kimyaaaaa lakini hao hao kwa kupekua simu za wapenzi wao,hata ingekuwa simu toleo jipya watajua jinsi ya kuitumia,ila kiukweli inerface hiii mpya ya JF haina mvuto na sio user friendly kwa wale wenye vichwa vigumu
 
Ni changamoto ila hongera tatizo la baadhi ya watu humu mtu akiuliza swali basi mpaka wamdhalilishe kwanza kwa majina yote ya ajabu ajabu khalafu ndo anaelimishwa.
 
Back
Top Bottom