Leo ndio nimegungua Adolf Hitler alikuwa ni mtu mwenye huruma sana kwa binadamu wenzie

FRANCIS DA DON

JF-Expert Member
Sep 4, 2013
35,845
40,433
Adolf Hitler japo alikuwa ni katili wa kutupa, bado alionyesha huruma na akili ya hali ya juu sana katika kuwaangamiza maadui au wale ambao hakuwahitaji katika jamii.

Kwanza alipowakamata watu aliwapeleka katika makambi kwa ajili ya kuchuja ili kuona yupi anafaa katika uzalishaji na yupi hafai,wale waliofaa waliendelea na shughuli za uzalishaji mali, na wale wasiofaa ndio walitengwa kwa ajili ya kuangamizwa.

Katika kuwaangamiza Adolf Hitler aliwadanganya kwamba wanaenda kuoga kwenye mabafu maalum ya kuogea (ili kuwaondolea phsychological torment ya kujua kwamba unaenda kufa), walipoingia kwenye mabafu, badala ya kutoka maji ilitoka gesi maalum kwa ajili ya kuwafanyia Euthanasia, ambapo baada ya kufariki miili ndio ilienda kuteketezwa kwa moto, hakuwachoma moto wakiwa hai.

Cc: wachomaji wa vifaranga hai
 
Adolf Hitler japo alikuwa ni katili wa kutupa, bado alionyesha huruma na akili ya hali ya juu sana katika kuwaangamiza maadui au wale ambao hakuwahitaji katika jamii. Kwanza alipowakamata watu aliwapeleka katika makambi kwa ajili ya kuchuja ili kuona yupi anafaa katika uzalishaji na yupi hafai,wale waliofaa waliendelea na shughuli za uzalishaji mali, na wale wasiofaa ndio walitengwa kwa ajili ya kuangamizwa.
Katika kuwaangamiza Adolf Hitler aliwadanganya kwamba wanaenda kuoga kwenye mabafu maalum ya kuogea (ili kuwaondolea phsychological torment ya kujua kwamba unaenda kufa), walipoingia kwenye mabafu, badala ya kutoka maji ilitoka gesi maalum kwa ajili ya kuwafanyia Euthanasia, ambapo baada ya kufariki miili ndio ilienda kuteketezwa kwa moto, hakuwachoma moto wakiwa hai. Cc: wachomaji wa vifaranga hai
nimependa hiyo cc mkuu
 
ata mmm nilishangaa sana mkuu hili jambo la kuchoma vifaranga ila nilikuwa nawaza watu wa haki za wanyama wapo wapi?????
 
m nadhani mh. Rais kwa kulinda heshima yake mbele yetu watz...angewafukuza kazi wote waliohusika...sababu wanamchonganisha na sisi wapiga kura
 
Hitler adui zake wakuu walikua ni Jews,na hasa aliwachukia sababu ya mafanikio yao. Ki historia alitokea kwenye Familia maskini, na ni kawaida kwa mtu maskini kumchukia yule aliyenacho,akifikiri kwamba Tajiri ndio cause ya umasikini wake. hata iddi Amin aliwachukia sana wahindi due to the same reasons na hii ipo psychological zaidi, lakini pamoja na hayo, siyo kweli kwamba madikteta kama Hitler na Iddi Amin walichukia kila mtu hapana. Embu skia kisa hiki: Dr Joseph Goebbels alikua ndio mshkaji na mpambemkuu wa Hitler, Hitler akamteua kuwa chief of propaganda wa Manazi lakinipamoja na huu ushkaji wao, sio kila jambo (Hitler)alimtetea Goebbels. Ilitokeasiku moja, mkewe Goebbels alipeleka malalamiko kwa Fuhrer (Hitler)kwamba Mumewe alikua aki mcheat na si hivyo tuu ila alikua amehama nyumbani kabisa na kuhamishia kwauyo hawara ke mazima .Fuhrer (Hitler) akaanzakufatilia hizo lawmaakagundua kwamba ni za kweli tena akagundua kwamba huyo hawara alikua ni m Taliano aliyekua a ki fanya kazi kwenye Embassy ya Italy mjini Berlin. Alichofanya Hitler alimpigia simu Benito Mussolini (alikua Dikteta na PM wa Italy wakati huo) akimtaka amhamishe huyo mama haraka sana , Mussolini alifanya Hivyo . Baadae Hitler alitembelea Familia ya Goebbels kujua kama mzee kabadilika, Mama Goebbels alimweleza Fuhrer kwamba sas mumewe alikua anashinda nyumbani, na tena alikua amekata mawasilianokabisa na yule hawarake tena akamshukuru sana Hitler kwa msaada .
 
5 Reactions
Reply
Back
Top Bottom