Leo ndio mwisho wa kurudisha tamko la mali za viogozi ukawa msije kulialia

USSR

JF-Expert Member
Jul 15, 2015
9,896
22,663
Ni kawaida yenu kutafuta vijisababu vya kutafuta huruma eti mnaonewa mwaka Jana mlizingua sana mpaka mipasho kule bungeni mwaka huu mjiongeze


Wanajf


Tangazo la mwisho wa kurudisha tamko la mali za viongozi kwa mujibu wa sheria linawataka viongozi wote wa umma watoe tamko hilo na leo ndio leo msururu umeanza mapema SAA 12 kasoro idadi ni kubwa ila najua bado watakuwepo ambao mpaka mijeredi ndio watoe na wengine waseme tamko limepotea ili kutengeneza kiki


USSR



Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kumbe tuna Viongozi kama tulivyo Wananchi wao, kila jambo wanajitokeza dakika za mwishoni.
 
huwa sioni faida ya hicho kitu,,,,juzi tu kuna kijana aliomba special audit ya mali za RC akakataliwa ,,, na pili ziwekwe hadharani ili watu wafichue wanazozijua na hazikuorodheshwa kwenye matamko ya viongozi
 
Mbona mali za Makonda walikomaa nazo.

Mi naona wanafanya mazingaumbwe tu
Baada ya kusikia fomu zikirudi kutakuwa na uhakiki!
tapatalk_1567837175477.jpeg


Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom