Leo Ndio Leo, Ni Deadline ya PUSU ya Barrick Kutangaza Kifo Cha Acacia ili Kumaliza Mgogoro Wa Makinikia. Jee Acacia Atakubali Kufa Kibudu Au...?

Pascal Mayalla

Platinum Member
Sep 22, 2008
50,467
113,571
Wanabodi,
Leo Ndio Leo, Ni Siku ya Deadline ya mwisho ya PUSU ya Barrick Kutangaza Dau La Kifo Cha Acacia ili Kumaliza Mgogoro wa Makinikia. Swali Kubwa Linabaki ni Jee This Time, Acacia Atakubali Kufa Kubudu au ataendelea Kukuruka Tena?. Jibu Litapatikana Kabla ya 5.00pm on 19 July 2019, kwa saa za GMT.

Kwa faida ya wasomaji wapya wasiojua mgogoro huu, leo ndio siku ya mwisho ya deadline ya PUSU ya Barrick kutangaza kuinunua Acacia katika hostile take over, yaani unanunuliwa kikuku, utake usitake, hilo neno PUSU maana yake ni Put Up, or Shut Up, maana yake kuilazimisha Barrick kutangaza rasmi dau la kuinunua Acacia, na kuiaa rasmi ili kuumaliza mgogoro wa muda mrefu wa makinikia ya Acacia na serikali ya Tanzania. Put Up maana yake ni Barrick aweke offer mezani kwa kutangaza atainunua Acacia kwa kiasi gani, na kama hana nia ya kuinunua, anatakiwa kutoa tangazo la Shut Up kuwa hainunui.

Barrick imelazimika kuinunua Acacia kwa lazima, baada ya serikali yetu kutangaza kutoitambua Acacia, hivyo Baarrick kulazimika kuiua Acacia ili kuumaliza mgogoro wa makinikia, ambao sasa kumeibuka mgogoro mwingine mkubwa zaidi ya mgogoro wa makinikia, kwa mgodi wa North Mara kufungwa kwa uchafuzi wa mazingira, North Mara ndie ng'ombe wa maziwa wa Acacia.
Kwa vale wapenda habari kwa ufupi short and clear tuishie hapa, wazama deep karibuni humu kujua mambo yalikuwaje
May 22, 2019 ndio Barrick walitangaza nia ya kuinunua Acacia na PUSU dealine ya kwanza iliyodumu kwa siku 28 kutangazwa hii ni kufuatia serikali yetu kutoitambua Acacia na sisi watu wa kuripoti, tukawaripotia humu https://www.jamiiforums.com/threads...tile-take-over-soon-itakuwa-kwishney.1587164/
  1. June 18, 2019 deadline ya kwanza ya PUSU ikafika, Acacia akaanza kukuruka kujinusuru, Barrick akaomba kusogeza mbele kwa siku 10 za kwanza hadi Julai 9, 2019, huku ikitutangaza vibaya, na sisi kama kawaida yetu sisi watu wa kuripoti tukawaripotia https://www.jamiiforums.com/threads...ni-kweli-kama-sii-kweli-tukanushe-au.1588766/
  2. June 19, Acacia akatangaza kukubali deadline ya PUSU kusogezwa kwa muda wa nyongeza wa siku 10, huku akiendelea kukuruka kujinusuru, na ndipo tukatambua kuwa kwenye suala zima la kulinda rasilimali za nchi, rais Magufuli ni kiboko https://www.jamiiforums.com/threads...tanzania-barrick-yafunguka-kila-kitu.1597308/
  3. Siku hiyo ndio ukatangazwa ugomvi wa baba na mwana kati ya Barrick na Acacia, Baba Barrick akisema ametangaza dau kiduchu kwa sababu Acacia hana thamani anayojitapia anayo, huku mtoto Acacia akilalamika kuwa Barrick wanaishusha thamani yake ili kuwalalia, hili nalo sisi maripota wenu tukawaripotia https://www.jamiiforums.com/threads...kutapatata-kwa-mfa-maji-au-ni-scheme.1597344/
  4. Katika kukuruka, Acacia akatoa taarifa kujionyeshea alivyo na thamani kwa kusalimu Amri na kuiomba Barrick angalau iongeze dau https://www.jamiiforums.com/threads...iponda-hoja-za-barrick-mwanzo-mwisho.1599175/
  5. Barrick akagoma kata kata kuwa haongezi hata senti tano https://www.jamiiforums.com/threads...-get-nothing-hawaongezi-hata-sentano.1600033/
  6. Zikuwa zimebaki siku 4 kabla ya deadline ya PUSU ya Julai 9, Acacia ikazidi kujitutumua huku Barrick ikikausha https://www.jamiiforums.com/threads...-kujitutumua-ili-barrick-aongeze-dau.1603149/
  7. Julai 8, 2019, siku moja kabla ya deadline ya PUSU, Acacia akaibuka na financial statement yake kuonyesha anatengeneza faida kubwa, Barrick akagomea kuwa Acacia wanapika data za utajiri https://www.jamiiforums.com/threads...-kujitutumua-ili-barrick-aongeze-dau.1603149/
  8. Julai 9, 2019, siku ya deadline ya PUSU, Acacia akazidi kukuruka, hivyo Barrick akaongeza siku 10 mbele hadi Julai 19 tukawaripotia humu https://www.jamiiforums.com/threads...up-ni-kubali-ufe-kataa-ufe-no-option.1604592/
  9. Baada ya kuongezwa hizi siku 10 nyingine, vita ya Barrick na Acacia ikahamishiwa kwenye media kwa kila mtu kutumia media kupush agenda zake, Acacia wakujifanya wana thamani sana, Barrick wakiponda sana, katika mtifuano huo, rais Magufuli akaingizwa kwa kusingiziwa ndiye chanzo https://www.jamiiforums.com/threads...up-ni-kubali-ufe-kataa-ufe-no-option.1604592/
  10. Wakati hayo yakiendelea, ndipo serikali yetu nayo ikashusha nyundo nzito kwa Acacia ahead of deadline ya tarehe 19 Julai kwa kusitiza uzalishaji wa mgodi wa North Mara ambao ndie ngombe wa maziwa wa Acacia https://www.jamiiforums.com/threads...up-ni-kubali-ufe-kataa-ufe-no-option.1604592/
  11. 19 July, 2019 ndio leo, hii ndio siku ya mwisho ya deadline ya tatu ya PUSU ya Acacia, na ndio deadline ya mwisho, hakuna kuongeza siku, leo ndio PUSU Day.
Tukae mkao wa kula, macho na masikio yetu ni Toronto nyumbani kwa Barrick, mtangaza kifo na London nyumbani kwa Acacia mpokea taarifa ya kukubali kuchinjwa maana zile kukuru kakara zote za Acacia, zilikuwa ni mbio za sakafuni tuu, leo ndio zinafika ukingoni.

Nita wa update taarifa ikitoka,
Otherwise, nawatakia Furahi Dei Njema.
Wale wa Ijumaa, Ijumaa Kareem.
Paskali
 
Wanabodi,
Leo Ndio Leo, Ni Siku ya Deadline ya mwisho ya PUSU ya Barrick Kutangaza Dau La Kifo Cha Acacia ili Kumaliza Mgogoro wa Makinikia. Swali Kubwa Linabaki ni Jee This Time, Acacia Atakubali Kufa Kubudu au ataendelea Kukuruka Tena?. Jibu Litapatikana Kabla ya Saa kwa Saa za GMT.

Kwa faida ya wasomaji wapya wasiojua mgogoro huu, leo ndio siku ya mwisho ya deadline ya PUSU ya Barrick kutangaza kuinunua Acacia katika hostile take over, yaani unanunuliwa kikuku, utake usitake, hilo neno PUSU maana yake ni Put Up, or Shut Up, maana yake kuilazimisha Barrick kutangaza rasmi dau la kuinunua Acacia, na kuiaa rasmi ili kuumaliza mgogoro wa muda mrefu wa makinikia ya Acacia na serikali ya Tanzania. Put Up maana yake ni Barrick aweke offer mezani kwa kutangaza atainunua Acacia kwa kiasi gani, na kama hana nia ya kuinunua, anatakiwa kutoa tangazo la Shut Up kuwa hainunui.

Barrick imelazimika kuinunua Acacia kwa lazima, baada ya serikali yetu kutangaza kutoitambua Acacia, hivyo Baarrick kulazimika kuiua Acacia ili kuumaliza mgogoro wa makinikia, ambao sasa kumeibuka mgogoro mwingine mkubwa zaidi ya mgogoro wa makinikia, kwa mgodi wa North Mara kufungwa kwa uchafuzi wa mazingira, North Mara ndie ng'ombe wa maziwa wa Acacia.

Mambo yalikuwa kama ifuatavyo.
  1. May 22, 2019 ndio Barrick walitangaza nia ya kuinunua Acacia na PUSU dealine ya kwanza iliyodumu kwa siku 28 kutangazwa hii ni kufuatia serikali yetu kutoitambua Acacia na sisi watu wa kuripoti, tukawaripotia humu https://www.jamiiforums.com/threads...tile-take-over-soon-itakuwa-kwishney.1587164/
  2. June 18, 2019 deadline ya kwanza ya PUSU ikafika, Acacia akaanza kukuruka kujinusuru, Barrick akaomba kusogeza mbele kwa siku 10 za kwanza hadi Julai 9, 2019, huku ikitutangaza vibaya, na sisi kama kawaida yetu sisi watu wa kuripoti tukawaripotia https://www.jamiiforums.com/threads...ni-kweli-kama-sii-kweli-tukanushe-au.1588766/
  3. June 19, Acacia akatangaza kukubali deadline ya PUSU kusogezwa kwa muda wa nyongeza wa siku 10, huku akiendelea kukuruka kujinusuru, na ndipo tukatambua kuwa kwenye suala zima la kulinda rasilimali za nchi, rais Magufuli ni kiboko https://www.jamiiforums.com/threads...tanzania-barrick-yafunguka-kila-kitu.1597308/
  4. Siku hiyo ndio ukatangazwa ugomvi wa baba na mwana kati ya Barrick na Acacia, Baba Barrick akisema ametangaza dau kiduchu kwa sababu Acacia hana thamani anayojitapia anayo, huku mtoto Acacia akilalamika kuwa Barrick wanaishusha thamani yake ili kuwalalia, hili nalo sisi maripota wenu tukawaripotia https://www.jamiiforums.com/threads...kutapatata-kwa-mfa-maji-au-ni-scheme.1597344/
  5. Katika kukuruka, Acacia akatoa taarifa kujionyeshea alivyo na thamani kwa kusalimu Amri na kuiomba Barrick angalau iongeze dau https://www.jamiiforums.com/threads...iponda-hoja-za-barrick-mwanzo-mwisho.1599175/
  6. Barrick akagoma kata kata kuwa haongezi hata senti tano https://www.jamiiforums.com/threads...-get-nothing-hawaongezi-hata-sentano.1600033/
  7. Zikuwa zimebaki siku 4 kabla ya deadline ya PUSU ya Julai 9, Acacia ikazidi kujitutumua huku Barrick ikikausha https://www.jamiiforums.com/threads...-kujitutumua-ili-barrick-aongeze-dau.1603149/
  8. Julai 8, 2019, siku moja kabla ya deadline ya PUSU, Acacia akaibuka na financial statement yake kuonyesha anatengeneza faida kubwa, Barrick akagomea kuwa Acacia wanapika data za utajiri https://www.jamiiforums.com/threads...-kujitutumua-ili-barrick-aongeze-dau.1603149/
  9. Julai 9, 2019, siku ya deadline ya PUSU, Acacia akazidi kukuruka, hivyo Barrick akaongeza siku 10 mbele hadi Julai 19 tukawaripotia humu https://www.jamiiforums.com/threads...up-ni-kubali-ufe-kataa-ufe-no-option.1604592/
  10. Baada ya kuongezwa hizi siku 10 nyingine, vita ya Barrick na Acacia ikahamishiwa kwenye media kwa kila mtu kutumia media kupush agenda zake, Acacia wakujifanya wana thamani sana, Barrick wakiponda sana, katika mtifuano huo, rais Magufuli akaingizwa kwa kusingiziwa ndiye chanzo https://www.jamiiforums.com/threads...up-ni-kubali-ufe-kataa-ufe-no-option.1604592/
  11. Wakati hayo yakiendelea, ndipo serikali yetu nayo ikashusha nyundo nzito kwa Acacia ahead of deadline ya tarehe 19 Julai kwa kusitiza uzalishaji wa mgodi wa North Mara ambao ndie ngombe wa maziwa wa Acacia https://www.jamiiforums.com/threads...up-ni-kubali-ufe-kataa-ufe-no-option.1604592/
  12. 19 July, 2019 ndio leo, hii ndio siku ya mwisho ya deadline ya tatu ya PUSU ya Acacia, na ndio dealine ya mwisho, hakuna kuongeza siku, leo ndio PUSU Day.
Tukae mkao wa kula, macho na masikio yetu ni Toronto nyumbani kwa Barrick, mtangaza kifo na London nyumbani kwa Acacia mpokea taarifa ya kukubali kuchinjwa.

Nita wa update taarifa ikitoka,
Otherwise, nawatakia Furahi Dei Njema.
Wale wa Ijumaa, Ijumaa Kareem.
Paskali
Huna jipya
 
Kabudi anasemaje? Mpatie salamu zangu, Pia pongezi nyingi zimwendee mr tall PK kwa kufanikisha kuidanganya serikari nzima kuhusu sera ya madini na haya ndo matokeo. Tukiwa tunasubiri hawa waelewane tupate japo kishika uchumba, mr tall anafaidi matunda, kabudi macho hayoo, na povu pia. Wasalimie.
 
Wanabodi,
Leo Ndio Leo, Ni Siku ya Deadline ya mwisho ya PUSU ya Barrick Kutangaza Dau La Kifo Cha Acacia ili Kumaliza Mgogoro wa Makinikia. Swali Kubwa Linabaki ni Jee This Time, Acacia Atakubali Kufa Kubudu au ataendelea Kukuruka Tena?. Jibu Litapatikana Kabla ya 5.00pm on 19 July 2019, kwa saa za GMT.

Kwa faida ya wasomaji wapya wasiojua mgogoro huu, leo ndio siku ya mwisho ya deadline ya PUSU ya Barrick kutangaza kuinunua Acacia katika hostile take over, yaani unanunuliwa kikuku, utake usitake, hilo neno PUSU maana yake ni Put Up, or Shut Up, maana yake kuilazimisha Barrick kutangaza rasmi dau la kuinunua Acacia, na kuiaa rasmi ili kuumaliza mgogoro wa muda mrefu wa makinikia ya Acacia na serikali ya Tanzania. Put Up maana yake ni Barrick aweke offer mezani kwa kutangaza atainunua Acacia kwa kiasi gani, na kama hana nia ya kuinunua, anatakiwa kutoa tangazo la Shut Up kuwa hainunui.

Barrick imelazimika kuinunua Acacia kwa lazima, baada ya serikali yetu kutangaza kutoitambua Acacia, hivyo Baarrick kulazimika kuiua Acacia ili kuumaliza mgogoro wa makinikia, ambao sasa kumeibuka mgogoro mwingine mkubwa zaidi ya mgogoro wa makinikia, kwa mgodi wa North Mara kufungwa kwa uchafuzi wa mazingira, North Mara ndie ng'ombe wa maziwa wa Acacia.
Kwa vale wapenda habari kwa ufupi short and clear tuishie hapa, wazama deep karibuni humu kujua mambo yalikuwaje

Tukae mkao wa kula, macho na masikio yetu ni Toronto nyumbani kwa Barrick, mtangaza kifo na London nyumbani kwa Acacia mpokea taarifa ya kukubali kuchinjwa maana zile kukuru kakara zote za Acacia, zilikuwa ni mbio za sakafuni tuu, leo ndio zinafika ukingoni.

Nita wa update taarifa ikitoka,
Otherwise, nawatakia Furahi Dei Njema.
Wale wa Ijumaa, Ijumaa Kareem.
Paskali
Wewe hata ufanyeje hautakaa upewe uteuzi daima
 
Pk ni hatari sana kwa nchi zisizo na machale maana kaivuruga DRC sasa wamebakia kama chaka la kuuza mabunduki badala ya dhahabu

Ahsante Ta Paskale, yote yanawezekana ila chance ni ndogo sana (very slim) kwa ACACIA kusarrender masilahi yake yote kihurahisi rahisi.
Kama vile Hon Kabudi alivyotuaminisha kishika uchumba na Naoh lakini ACACIA akavuta hand break hadi lwa leo.
Ngoja tusubiri yetu macho na wasiokuwa na leseni ya kuendesha gari wahi VETA na driving school!!!!!!!!!!!!!!!!
 
ahsante sana paskali kwa kuendelea kutuhabarisha kinachoendelea kwenye huu mgogoro, hakika kama nchi itabidi tubaki na somo juu ya mikataba tunayoingia na kampuni hizi za kibeberu. shida yote hii imetokana na mikataba mibovu tuliyoingia nao mwanzoni kabisa. ubinafsi, ufisadi na tamaa ndio zinaiponza nchi hii masikini ya Tanzania.
 
Sijui kwa nini hisia zangu zinanipelekea kuamini kuwa hii issue haifiki tamati leo wala kesho, kuna unabii fulani ulitolewa bado haujatimia so tamati yake ni kutimia kwa unabii huo.

Ukisoma maelezo ya mleta uzi inaonekana mambo ni mepesi na yako straight foward lkn cha kushangaza case haiwi closed, binafsi naendelea kuziamini hisia zangu na ya kuwa tutaendelea kulisoma na kulifuatilia hili jambo kwa siku nyingi zijazo.
 
mkuu "njaa" umekomaa na haya mambo as if unalipwa wakati ishu yote iko wazi na hakuna asiyejua
hiyo movie inavyoendelea, kuna mambo mengi unaweza post yenye manufaa kwa taifa ukianza na
tasnia yako ambayo iko hoi
 
Back
Top Bottom