Jimmy George
JF-Expert Member
- Nov 28, 2016
- 1,733
- 1,643
Hii kauli mbiu ya TIGO mimi hainisumbui kichwa maana naielewa kama ambavyo wao wanataka iwe wacha niweke buku nijazwe mb,dakika na sms kibao...
Your Avatar can not be trusted by any man of GodUsiogope!Mm n mtanzania mwenzio mwenye mapenzi mema na Mungu. Avatar siyo issue. Kwani yako inaendana na matendo yako.
Habari nzuri tu huku nafurahi kuona tumeamka tena salama.siJambo mkuu habari gani toka kwako