Leo nawatetea kampuni ya TIGO na kaulimbiu yake ya 'Jaza, ujazwe'

Hivi punde

JF-Expert Member
Apr 1, 2017
2,554
8,581
*Naomba niwatetee kampuni ya tiGO.*

Leo hii Watanzania wanapiga kelele kuhusu "Jaza ujazwe". Lakin i Watanzania wamesahau kuwa uchokozi waliuanzisha wenyewe.

Uchokozi huo waliuanzisha kwa kuharibu maana ya "tiGO". Sina haja ya kufafanua, ila kila Mtanzania anajua neno "tiGO" linatumikaje huku mtaani.

Ila ukigugo maana ya tiGO kwa lugha ya huko kampuni ilikotokea maana yake ni "Wewe". Bila shaka walilenga kumaanisha tiGO ni kampuni inayokujali wewe.

Na wacha Mungu wanaotumia Kiingereza wakaichakachua "TIGO" kuwa ni "Trust In God Only". Ambayo imekaa vizuri.

Ila sie Waswahili bwana .... sijui akili zetu zikoje mpaka tukaipa "tiGO" ile maana yetu ileeeeee!

Sasa tiGO nao wametuletea Uswahili tunaanza kulialia.

Acheni longolongo bwana. Andaeni hizo tiGO mjazwe. Maana hakuna namna nyingine.

-
 
*Naomba niwatetee kampuni ya tiGO.*

Leo hii Watanzania wanapiga kelele kuhusu "Jaza ujazwe". Lakin i Watanzania wamesahau kuwa uchokozi waliuanzisha wenyewe.
Uchokozi huo waliuanzisha kwa kuharibu maana ya "tiGO". Sina haja ya kufafanua, ila kila Mtanzania anajua neno "tiGO" linatumikaje huku mtaani.
Ila ukigugo maana ya tiGO kwa lugha ya huko kampuni ilikotokea maana yake ni "Wewe". Bila shaka walilenga kumaanisha tiGO ni kampuni inayokujali wewe.
Na wacha Mungu wanaotumia Kiingereza wakaichakachua "TIGO" kuwa ni "Trust In God Only". Ambayo imekaa vizuri.
Ila sie Waswahili bwana .... sijui akili zetu zikoje mpaka tukaipa "tiGO" ile maana yetu ileeeeee!
Sasa tiGO nao wametuletea Uswahili tunaanza kulialia.
Acheni longolongo bwana. Andaeni hizo tiGO mjazwe. Maana hakuna namna nyingine.-

Huwa kwa desturi nakwepa daima kusoma post zako. Sababu ya msingi ni moja tu: Avetar yako! Sote tunafahamu maana ya alama hiyo unayojitambulisha nayo, ndiyo maana inatia kinyaa kusoma hata mawazo yako. Ghafla leo nimekuwa interested kujua utasema nini ktk kutetea kaulimbiu tata ta Tigo. Bahati mbaya nimekuta mawazo yako yanapatana na avetar yako. Kilichonitia hasira zaidi ni tafsiri yako ya neno TIGO, kwamba eti "wacha Mungu wanaotumia kiingereza wanaichakachua "TIGO" ni.... (nashindwa kumalizia)!!!

Nashawishika kufikiri kuwa huenda wewe ukawa Marketing Manager wa hiyo kampuni na unatetea tonge na haki ya wanao kwenda msalani. Lakini jamani hekima ya uchaji wa Mungu inatuelekeza kujiepusha na laana zisizo lazima!
 
Huwa kwa desturi nakwepa daima kusoma post zako. Sababu ya msingi ni moja tu: Avetor yako! Sote tunafahamu maana ya alama hiyo unayojitambulisha nayo, ndiyo maana inatia kinyaa kusoma hata mawazo yako. Ghafla leo nimekuwa interested kujua utasema nini ktk kutetea kaulimbiu tata ta Tigo. Bahati mbaya nimekuta mawazo yako yanapatana na avetor yako. Kilichonitia hasira zaidi ni tafsiri yako ya neno TIGO, kwamba eti "wacha Mungu wanaotumia kiingereza wanaichakachua "TIGO" ni.... (nashindwa kumalizia)!!!

Nashawishika kufikiri kuwa huenda wewe ukawa Marketing Manager wa hiyo kampuni na unatetea tonge na haki ya wanao kwenda msalani. Lakini jamani hekima ya uchaji wa Mungu inatuelekeza kujiepusha na laana zisizo lazima!

Usiogope!Mm n mtanzania mwenzio mwenye mapenzi mema na Mungu. Avatar siyo issue. Kwani yako inaendana na matendo yako.
 
Huwa kwa desturi nakwepa daima kusoma post zako. Sababu ya msingi ni moja tu: Avetar yako! Sote tunafahamu maana ya alama hiyo unayojitambulisha nayo, ndiyo maana inatia kinyaa kusoma hata mawazo yako. Ghafla leo nimekuwa interested kujua utasema nini ktk kutetea kaulimbiu tata ta Tigo. Bahati mbaya nimekuta mawazo yako yanapatana na avetar yako. Kilichonitia hasira zaidi ni tafsiri yako ya neno TIGO, kwamba eti "wacha Mungu wanaotumia kiingereza wanaichakachua "TIGO" ni.... (nashindwa kumalizia)!!!

Nashawishika kufikiri kuwa huenda wewe ukawa Marketing Manager wa hiyo kampuni na unatetea tonge na haki ya wanao kwenda msalani. Lakini jamani hekima ya uchaji wa Mungu inatuelekeza kujiepusha na laana zisizo lazima!
Duh, hatari sana
 
Back
Top Bottom