Leo naungana na tafiti na misemo yote duniani kuwa mwanamke hasomeshwi

Maandiko yanasema mwanamke atazaa kwa uchungu na mwanaume atatafuta kwa jasho.

Watoto ni mali ya wanawake, wanaume viherehere vinawasumbua.
Ndo maana mimba huingia kimya kimya bila alarm, it means haituhusu.

Ungekuwa umedhurumiwa nyumba au gari ningekusikiliza.
 
Maandiko yanasema mwanamke atazaa kwa uchungu na mwanaume atatafuta kwa jasho.

Watoto ni mali ya wanawake, wanaume viherehere vinawasumbua.
Ndo maana mimba huingia kimya kimya bila alarm, it means haituhusu.

Ungekuwa umedhurumiwa nyumba au gari ningekusikiliza.
Ndio maana wenzetu wamasai mwanamke analala ht na mgeni akija kumtembelea apooze ushungu wa safari na ht akipata mimba hajali wanachoamini mpk kesho mtoto ni wamwanamke na si mwanaume kwanza hp kiononi jamaa anamamilioni ya watoto nashanga tu sijui anauzunikaa nn mimi namshauri tu sio kila vita utashinda nyingine akubali tu kushindwa vinginevyo itamgarimu kitu kikubwa zaidi
 
kumbe wewe ndio ume overtaking maana mwenzio alikuwa anahudumia wakat anasoma bt nakupa Roho ya kijambazi kwa kuwa ashazima umeme sasa wewe malizia kunyofoa wiring kama kamwaga mbona mwaga ugali huo muda wa kusema kuwa mtoto ni wako tu, alafu akishafahamu uyo mwanaume akili zitakaa sawa usiache damu yako inapotea
 
Leo naungana na wengine dunia walioumizwa na wanawake ambao waliwahudumia lakini mwisho wa siku waliachwa bila ya kuona Tone la huruma kutoka kwa wenza wao wa zamani.

Nasema haya kwa huzuni kubwa kwani imenibidi nimuache mwanamke ambae nimezaa nae kwa bahati mbaya na nikawa nawahudumia kama sehemu yangu ya familia na nikiwapa umuhimu wote ila baada ya kukuta mwanangu anahudumiwa na baba wa kambo akijua kuwa ni mwanae pamoja na hayo nikamuulza mama mtoto na kudai kuwa mtoto ni wangu ila huyo jamaa nae anahudumia akijua mtoto ni wake.

Kibaya zaidi kuongea na mama mtoto alikuwa tayari kunipoteza mimi kuliko huyo mwanaume mwingine mwenye pesa nyingi kuliko mimi. Iliniuma sana na nimeshindwa kutoa huduma na sitotoa huduma tena hadi pale nitalewa mtoto nikae nae mimi (Kisa jamaa alimpa sapoti sana wakati anasoma)

Nimeumia sana kuona mwanamke anaona bora kuvunja mahusiano yetu kuliko kumpoteza huyo jamaa. Nimeamini hakuna anaeweza kumridhisha mwanamke ambae yeye ajaamua kuridhika na hali fulani ya mwanaume ....
MWANAMKE KWELI HASOMESHWI ILA MKE ANASOMESHWA!!
 
Back
Top Bottom