Leo nataka kula majongoo; mkakati wangu wa kugundua vyakula vipya

Superbug

JF-Expert Member
Jan 31, 2018
12,417
30,926
Nimechoka kula wali ugali ndizi tambi nk nimeamua kujaribu vyakula vipya kabisa vitakavyonipa ladha mpya. Nimeanza na majongoo Yale makubwa meusi. Nitayala kwa mfumo wa kuyakaanga kwenye mafuta. Nitawekea picha.

Mungu nisaidie.

View attachment 1722554
 
Ngoja nikufundishe mapishi yake..
Ukishayakusanya unayachemsha kwenye sufuria kama dakika 10 hivi
Kisha unayaipua na kuyakamua...ile sifongo ya ndani ndio nyama yenyewe irost utakavyo ama kula mchemsho
Asante Sana broo
 
Mkuu uko Serious?
Millipedes can produce a dazzling array of chemicals, including alkaloids, quinones, ketones, terpenes, esters, phenols and various acids, as well as specifically insidious chemicals such as hydrogen cyanide (HCN).

Source: bbc earth
 
Back
Top Bottom