Leo naomba tujuzane kuhusu Radio Transmitter gharama na ubora, ukubwa pia

Rdj Shibo

Member
Jan 5, 2018
62
125
Kama nilivy anza hapo, naomba tupeane muongozo au tujuzane kuhusu Radio Transmitter kwa undani haswa namna ya kuipata na gharama zake na ukubwa karibu kwa maoni na mchango wako.
 

Joselela

JF-Expert Member
Jan 24, 2017
5,031
2,000
Radio transmitter zinauzwa kulingana na coverage ambayo bei hutegemea uwezo wa transmitter ku cover eneo la square kilometers ngapi mfano 25km² nk nk.

Ukitaka kuextend coverages unatumia repeaters ni vifaa ambavyo vina extend radio waves kutoka katika transmitter yako na kufanyia modulation hadi eneo unalotaka ku cover tena.

Radio waves Repeaters pia zinategemea na coverage area unalo taka ku cover....

So to conclude bei za transmitter na repeaters hutegemea unataka ku cover area ya ukubwa gani...

kwa maulizo zaidi na kufunguliwa radio station ya kisasa check me Partager sur WhatsApp.
 

Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom