Leo najisikia kumwambia mme wangu nampenda kupitia forum hii

We ulivyoleta hii thread ulikua na malengo gani? ulitakawatu wachangie nn? na Mumeo ni member huku au? kama sio member ujumbe angeupataje?

NILIMAANISHA KWA YEYE MME WANGU ...NA NDO MAANA NIKAILETA HAPA NA YUKO HAPA ANASHANGAA TU KUONA HIZI NJEMBA ZILIVYO NA MAKASHESHE ..
jamani mie naenda kupumzika aaah mmenichosha
 
My 1st lady

huwezi kumpenda

1. Burn-mdomo wake haufungi
2. Masanilo -anakojoa hovyo kwenye miba
3. Chrispin-utapeleka wapi mwanariadha?
4. Fidel81 skeleton/huyo ni wa life after death

unaweza kumpenda

nguli-is serious n i know u lav a man who takes charge

Hahahaha mkuu umetuua. Kwa hiyo unamwona FL1 wakuja aolewe na mdude, nyani si nyani, ngiri si ngiri sijui mdude gani huu yailahi toba. Kitu kama FL1 kinahitaji athletic figures bwana
 
NILIMAANISHA KWA YEYE MME WANGU ...NA NDO MAANA NIKAILETA HAPA NA YUKO HAPA ANASHANGAA TU KUONA HIZI NJEMBA ZILIVYO NA MAKASHESHE ..
jamani mie naenda kupumzika aaah mmenichosha
sasa kama ni member si uweke tu adharani watu waelewe kama ni Masanilo we sema tu hakuna ubaya! wengine wote watakaa kimya!
 
sasa kama ni member si uweke tu adharani watu waelewe kama ni Masanilo we sema tu hakuna ubaya! wengine wote watakaa kimya!

Una akili sana wewe! Mkuu nikupe mjini gani? Umepatia kabisa
 
Umeishawahi fikiria kwenda iba gerezani? I cheat a lot with gals, ndo maana wananizimia....kuna demu nilimwambia wewe mtamu kuliko mademu wote niliwahi waona...sikumbuki kilichofuata.....
Kwa kweli nahisi kumpenda FL, niko tayari kumpa Moyo wangu! mimi nitatumia figo
Mpwa I meant to give her my sweet heart and one of the Kidney to replace it ....Mpwa fiGo na tiGo havina uhusiano.

...duh, sijui lini BJ atarudi likizo! :D
 
Hi

Mimi ni mwanachama mpya wa JamiiForums,ni mara yangu ya kwanza kujiunga,

Napenda kuchukua nafasi hii kuwa pongeza wote

Na mimi napenda kutoa ushauri wangu kwa upande wa mahusiano yaani relationships" ni vema ukamwambia wako unampenda iliujinasue na hili janga la dunia la ukimwi,mahusiano mema yanaanzia nyumbani.Kwa hiyo kupendana kati ya mke na mume ni muhimu sana,ili kutimiza ahadi ya mungu ya Upendo

Ndio nimeanza

Elisante
 
sasa kama ni member si uweke tu adharani watu waelewe kama ni Masanilo we sema tu hakuna ubaya! wengine wote watakaa kimya!

Aseme mara ngapi mkuu, wakati alishasema muda mrefu kuwa ni MIMI.
 
nalia pole nalia pole sana eeeh sikujua kama yatakuwa makubwa hivi

Chrispin ni lini utakuwa ?? ni lini utakuwa serious weye ?????

usiogope my darling wewe na mimi mpaka mwisho wa nyakati..wananionea wivu sana mimi kuwa na wewe kama my wife wangu..tulia tuzae mtoto wa pili ndo washangae
 
Aseme mara ngapi mkuu, wakati alishasema muda mrefu kuwa ni MIMI.

usiogope my darling wewe na mimi mpaka mwisho wa nyakati..wananionea wivu sana mimi kuwa na wewe kama my wife wangu..tulia tuzae mtoto wa pili ndo washangae

Duh! Naona mdada wa watu anagombaniwa kaa mpira wa kona. Kubabake walahi....inabidi kina dada waongezeke hapa la sivyo hapatatosha
 
Back
Top Bottom